Baraza la Mawaziri CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Mawaziri CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpepalilambo, Jul 13, 2012.

 1. m

  mpepalilambo Senior Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa nafikiri baraza la Mawaziri la CDM iwapo watapewa ridhaa ya Wananchi. Haya ndo mawazo yangu.

  FREEMAN MBOWE - RAIS
  DR. WILBROD SLAA - WAZIRI MKUU
  ZITTO KABWE- WAZIRI WA FEDHA
  TUNDU LISSU- WAZIRI WA SHERIA
  GODBLESS LEMA - WAZIRI WA MAMBO YA NDANI
  WENJE-WAZIRI WA MAMBO YA NJE
  LWAKATARE- WAZIRI WA ULINZI
  HALIMA MDEE- WAZIRI WA AFYA
  NDESAPESA- WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
  MCHUNGAJI MSIGWA- WAZIRI WA UJENZI
  JOHN MNYIKA - WAZIRI WA ARDHI
  NASARI- WAZIRI WA MICHEZO

  Bila shaka kasi ya maendeleo itakuwa kama ya treni la umeme.
   
 2. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Roz kamili ============= waziri wa utawala bora
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  siyo mda wake now
   
 4. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45


  waziri wa kilimo chakula ushirika?
  waziri wa nishati madini?
  waziri wa maji?
   
 5. m

  mpepalilambo Senior Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unasubiri mpaka mkeo ajifungue ndo ununue nepi? acha mila za kizamani na toa hoja kama unazo
   
 6. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mpaka muhula mpya vyuo vikuu uaanze- mtatuchosha sana.
   
 7. m

  mpepalilambo Senior Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Imekukuna ehhhhhhhhhhhhh
   
 8. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sana mkuu. Kama siyo uzembe wa TCU, msingekuwa huku. Sasa hivi mngekuwa mnahangaika ma- home work na Ma-seminar tu.
   
 9. m

  mpepalilambo Senior Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe full time umo jamvini kazi zako unafanya saa ngapi kama siyo dent au ndo kazi yako? usijali dents wakipata mikopo tutaendeleaa kuwapa elimu mi teacher wao.
   
 10. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usijali bado miaka 3 tu
   
 11. f

  funguotatu Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi baraza hilo ndo think tank ya CDM? ohhhhhhhhhhhhh kazi kweli kweli. Tz safari ndefu saaaaaaaaaaaaaaana kufika nchi ya maziwa na asali.
   
 12. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  eti Rais mbowe? hiki ndio kile chama cha udini na ukabila.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Right thing at a wrong time. Tuieneze M4C kwanza mkuu.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  josephine.....mambo ya nje
   
 15. T

  Tanzania tunayoitaka Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya
   
 16. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 260
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Jamani wadau jimbo la ukonga ni langu nitagombea kupitia CHADEMA nipeni sapoti wadau [QUO637]Unasubiri mpaka mkeo ajifungue ndo ununue nepi? acha mila za kizamani na toa hoja kama unazo[/QUOTE]
   
Loading...