Watetea wa haki za binadamu waomba ushirikiano wa wenzao ulimwenguni kuhusu madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watetea wa haki za binadamu waomba ushirikiano wa wenzao ulimwenguni kuhusu madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkweremkwere, Jul 13, 2012.

 1. m

  mkweremkwere New Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizata hivi punde ni kwamba watetezi wa hakinza binadamu wamewasilisha maombi kwa asasi za kimataifa zinazojihusisha na masuala ya haki za binadamu kuingilia kati mgogoro unaoendelea nchini kati ya madaktari na serikali. Chanzo cha kuaminika kinaendelea kutafuta nakala ya barua ya maombi hayo ambayo yanalenga kupata ushauri na kuibana serikali kurudi katika majafilianonna kupunguza ubabe. Tutaianika barua punde tu ikipatikana
   
 2. M

  Mwakalukwa Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh! Wabunge wa mabwepande watasema CDM ndo wanaowatafutia iyo sapoti.
   
 3. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Bora maana nchi yetu imekaa vibaya kwa sasa!
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  nchi hii kila anayeongea ukweli na kutetea maslahi ya wengi anaambiwa ni mchadema!! Inaonekana cdm wanafaa kuongoza nchi hii kwani watatunufaisha wengi.
   
Loading...