Inaonekana kuwa ccm na serekari wana kiuka sheria ya uchauzi dogo,kwa kuto wapa wananchi haki yao

Osten

New Member
Jul 13, 2012
4
0
chazo kimoja cha habari kimebaini kuwa serikali kwa kukilinda chama tawala inadai kuwa serikali haina pesa za chaguzi ndogo kwa madai hayo wanaipa ccm kujiandaa zaidi na kujipanga kiusalama zaidi na kuweka mabomu ya machozi ya kutosha,wakati sheria inasema kuwa jimbo,kata,kijiji,kitongoji,lisewe wazi zaidi ya siku 90,
sasa kama watanzania tunahitaji kutafakari hili kwa undani zaidi?
 
Back
Top Bottom