Waziri wa usalama uko wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa usalama uko wapi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by flovans, Jul 14, 2012.

 1. flovans

  flovans Senior Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMANI KWA HALI HII TUTAPONA KWELI. WAZIRI WA USALAMA UNADIL NA WATU WAKO IPASAVYO AU NDO MSEMO WA WIZI MTU?! Au NIJUKUMU LA WANANCHI KUNUNUA VITENDEA KAZI VYA POLISI? Mtu umevamiwa,unapiga simu polisi wanakuuliza hao majambazi wanabunduki na ukisema ndiyo simu inakatwa na wanatoweka hewani au wengine hudai hawana vitendea kazi. Basi mturuhusu KILA MWANANCHI AWE NA BUNDUKI YAKE MWENYEWE,COZ YAONEKANA ULINZI WA MAISHA YETU NI SISI WENYEWE.
   
Loading...