Baraza la madiwani sengerema lawafukuza kazi wakuu wa idara na vitengo 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la madiwani sengerema lawafukuza kazi wakuu wa idara na vitengo 9

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nnn, Jul 14, 2012.

 1. n

  nnn Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baraza la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Sengerema katika kikao chake cha katikati ya wiki hii limeazimia wakuu wa idara na vitengo tisa kufukuzwa kazi.Hii ni baada ya bodi ya zabuni kuhusishwa na matumizi mabaya ya fedha.Wakuu hao wa idara na vitengo walikua wamesimamishwa kazi kwa muda kama wa miezi miwili iliyopita.Baadhi yao ni Mwanasheria wa halashauri,Afisa mipango wa halmashauri,Afisa maendeleo ya jamii wa halmashauri hiyo na wengine.Hawa wote wamo katika bodi ya zabuni ya whalmashauri.SOURCE MIMI MWENYEWE TOKA SENGEREMA
   
 2. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ni kujidanganya tu wakati halmashauri zinapata asilimia 23% ya bajeti yote serikali na serikali kuu inabaki na asilimia 77% ya bajeti na kuzila kama akina Jairo na Mkulo.Uwajibikaji unatakiwa serikali zote Kuu na Mitaa.
   
Loading...