Mgomo wa usafiri kuendelea jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa usafiri kuendelea jumatatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Jul 14, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgomo wa usafiri ulioikumba manispaa ya moshi na wilaya zake unaweza ukaendelea tena jumatatu baada ya wamiliki wa magari kugomea ushuru wa shilingi 1500 badala yake wanataka kuendelea kulipa sh 1000 waliyokua wanalipa awali nawasilisha wakuu
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Magamba yanatikisa kiberiti, acha uendelee tu mbona wao hawataki kuwalipa madokta 3ml.

  Kama hawawezi kulipa waache biashara, wakalime.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hahaha chama makini kinaendesha halmashauri kwa umakini.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  aliyekuambia manispaa ya moshi inaongozwa na ccm ni nan,au unaropoka 2?
   
Loading...