Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani wakuu napenda kujuwa ni kwanini sisi wana arusha mjini hatuna mtetezi wetu bungeni kwa kipindi kilefu hicho? Na kwanini rufaha ya lema inachukuwa muda wote huo kupewa hukumu? Hivi serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana niliandika kuhusu article ya CHADEMA HATARI INAKUJA TAZAMENI.Watu wengi kwa kukurupuka walichangia hoja ile kijujuu pasipo kufikiri.Leo napenda kuwashauri wote wanaoumia na kutaka akina SLAA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya: Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Siri za uchunguzi wa awali wa tukio la kutekwa na kujeruhiwa kwa Dkt. Stephen Ulimboka zimeanza kuvunja, lakini kwa mshangao wa wanaojua kilichotokea, uchunguzi huo unatoa majibu yenye tata...
0 Reactions
115 Replies
11K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhanga Mpina (CCM), amejitokeza na kueleza msimamo wake wa kutopiga kura ya kupitisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013. Akizungumza na Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Swali liliulizwa leo bungeni kuhusu posho wanazopokea wajumbe wa bodi ya kutafuta maoni ya katiba mpya. Jibu lililotolewa ni kwamba 'posho ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa'. Hivi posho...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemuona naibu spika Mr Ndugai akimnongoneza mama aliyekua anachangia hoja. Je hili linaruhusiwa kama naibu spika kumfundisha muongeaji wakati kashaanza kuchangia mada? Haya yote yanajengwa ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa kuwa wote ( Rose Kamili na A. Mahimbo) ni wahanga wa vitendo vya Dr. Wilbroad Slaa, na kwakuwa hakuna uwezekano kwa Dr. Slaa kumwacha mke wake wa sasa ili kumuoa Rose kamili nashauri A...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
MAT na jumuia ya madaktari kwa kushirikiana na wadau wengine andaeni video zingine mbili, moja ya kiingereza na nyingine ya kiswahili akieleza kilichomtokea. Video hizi zisambazwe ulimwengu mzima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katibu wa Jumuiya hiyo, Dk Edwin Chitega alitaja madai yaliyowasilishwa katika kamati hiyo kuwa ni:- 1. Hali bora ya mazingira ya utoaji afya nchini, 2. Ongezeko la mishahara, 3. Posho za...
5 Reactions
287 Replies
27K Views
Nilimsikiliza kwa makini jana Profesa Tibaijuka juu ya mradi wa Kigamboni.Aliposema juu ya kuwapeleka baadhi ya wananchi wa kigamboni kutembelea miji mbalimbali kujifunza juu ya miji bora,nilianza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tunaomba mtusaidie hili, Hii serikali inataka kupitisha sheria kwamba mwanachama wa mifuko ya hifadhi hatoweza kuchukua mafao yake mpaka hatimize miaka 60. Hii kitu ni uonevu na dhuruma kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakika TUNDU LISSU weledi,umakini,ujasiri,Msimamo na uchapa kazi wake ni hazina kwa CHADEMA.Nashauri CHADEMA sasa LISSU aanze kufikiriwa kwa ajili ya kupeperusha bendera ya CHADEMA kwani...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Mara nyingi sana nikiwa nafuatilia bunge nimekuja kugundua kwamba wabunge wa upinzani wanapoomba mwongozo, au kuhusu itaratibu, pengine hata baada ya kuchangia hoja mbalimbali kuwa wanaambiwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbwa anatabia ya kubwekea kila kitu kinachopita mbile yake hata kama uwezo wa kukikamata hana. Mbwa atambwekea hata chatu wakati akijua hatafua dafu kwa chatu na ataishia kuliwa. Fsi huwa anatabia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tume huru ziundwe kuchunguza nani kateka na kunyasanyasa Dr. Ulimboka hilo halina ubishi. Lakini pia tume huru iundwe kuchunguza madhara yaliyosababishwa na mgomo wa madaktari tangu walipoacha...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
KESI YA KUPINGA NDOA YA DK.SLAA YAANZA KUNOGA Na Happiness Katabazi MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam,imemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Dk.Willbrod Slaa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
nimeshangazwa sana na kuiona barua ya jeshi la polisi tanzania kwenda kwa john mnyika iliyoandikwa juzi leo iko kwenye mitandao kama hujaiona hii hapa my tak barua hii imeandikwa na jeshi la...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
hali zenu wenyeji, wakuu nimefurahishwa sana na mjadala uliokuwa unaendelea bungeni wa wizara ya adhi na makazi, katika kuiunga mkono wizara nimeona ni nafasi pekee ya kuwasaidia watanzania...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TUJIKUMBUSHE ANGALAU KWA HAYA 1. Regnald Mengi alilalamika kwamba Polisi wanataka kumbambikiza mwanaye madawa ya Kulevya aliwataja mpaka majina ya Polisi waandaminizi na kiasi cha pesa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom