Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Kutokana na tukio lililotokea kwenye jimbo la Iramba Kwa Mwingulu Nchemba kwa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa na kikundi cha kihuni cha Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na kufanya vurugu zilizopelekea kujeruhiwa kwa watu na hatimaye kuuwawa kwa mfuasi wa CCM, inatoa fundisho kuwa CCM imeamua kutuchokoza na imetangaza vita na CHADEMA!
Sasa LIWALO NA LIWE hatutakubali kuonewa wala kunyanyaswa na kikindi cha wahuni! Hizi siasa za Mwigulu ni za kihuni, hatuwezi kuzivumilia!
Vyombo vya dola kama police pia vinahusika kwenye hili tukio na sasa wameitengeneza Story eti Viongozi wa CHADEMA ndo walianzisha vurugu kwa kumtukana Mwigulu na wananchi wakakasirika ndo vurugu zikatokea, kamando hivyo hizo mbona hakuna kiongozi wa chama aliyejeruhiwa?
Na mbona mkutano uliendelea baada ya vurugu kwa Amani? Kuanzia sasa mikutano yetu tutailinda! LIWALO NA! LIWE,