2015; Mbunge ni lazima awe amesoma kidato cha sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015; Mbunge ni lazima awe amesoma kidato cha sita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Jul 16, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ni mawazo yangu!!!

  Wale wenye madegree bila kusoma kidato cha sita wasiruhusiwe kugombea Ubunge!!!""""
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Au wadau mnasemaje??? Sipendi watu wa kuungaunga hadi kupata degreee; they are not compentence
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona kuna wabunge maprof au mawaziri maprof lakini ni mzigo kabisa!!!!!
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kama nani?????
  Darasa la saba anapewa ubunge??? Loooooh!!!
   
 5. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145
  Sikuelewi hata kidogo unapo propose elimu kwenye katika kuwatumikia wananchi kisiasa.Kwanza kabisa ninaomba ufahamu siasa siyo profession na kwa hivyo basi, mwanasiasa kazi yake siyo kama ya ualimu, udaktari, uhandisi au polisi n,k.Tatizo kubwa nchini, watu wengi wanafikili siasa ni proffesion kama zile nilizozitaja hapo juu. Ndiyo maana Tanzania tuna utitili wa vyama vya siasa na wanaotaka kuwa wana siasa na ukichunguza kwa undani, utagundua kuwa nia yao kuu si kuwatumikia wananchi bali kujinufaisha tu kimaslahi. Hii kasumba ndiyo inayozaa rushwa na siasa uchwara na ubinafsi.

  Kwa kukusaidia, hata katiba ya nchi haijaweka kiwango cha elimu kwa mtanzania kuwa Raisi ikilitambua hilo.
  Watanzania wengi tunakuwa na tabia na kasumba katika siasa ya kuangalia zaidi kigezo cha elimu badala ya nini amewafanyia na atawafanyia wananchi.
  Sikubaliani hata kidogo na maoni yako kwa sababu yanalenga sana katika ubaguzi wa kundi fulani katika jamii ili lisijihusishe na ujenzi na maendeleo nchini.
   
 6. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mkuu, ambao hawakupita form six lakini wana degree wana mapungufu gani?
   
Loading...