Uranium at Selous just a tip of ice

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Angalia mwenyewe hiyo ramani utaona jinsi watu walivyo gaiwa LESENi kwenye MBUGA na hifadhi ya TAIFA.
Uranium%20Location%20Map%20-%20Oct2009+1.jpg
 
URANEX NL owns Songea (coal), Mkuju, Manyoni, Bahi and Itigi uranium projects. That's a big stake of "our" coal and uranium.

Question is, who is the major shareholder and/or lobbyist of URANEX NL? Who are the shareholders of URANEX (T) Ltd?

Kuna rumors ni Bush family and friends at it again. Watu wamechimba Grand Canyon sembuse Selous Tanzania.
 
Tukisema tupende kusoma na kuelimika tunadharau. Tuna invest kwenye siasa za maji taka wakati wajanja wanakula kwa upole tu mali za nchi yetu. hakuna mtu mjinga atakayeweza kuwazuia
 
wakuu nchi hii inakila kitu nani katuroga tunatoa kila kitu kwa wazungu na hatufaidi chochote ni ipi Tanzania baada ya miaka 100 hebu piga picha itakuwaje nchi hii.
 
athari ya uranium ni kubwa sana na hatuna uwezo wa kukabiliana nayo nchi masikini kama hii
mimi imenitisha sana.....!
 
Back
Top Bottom