Membe Nakubali Siyo Vizuri Kudharau Mamlaka Lakini Mmhh kwa Awamu Hii, Hapana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe Nakubali Siyo Vizuri Kudharau Mamlaka Lakini Mmhh kwa Awamu Hii, Hapana!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Jul 17, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wakubwa,

  Katika mahojiano niliyoyasikia kupitia Kituo cha ITV Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Uhusiano wa Kimataifa Mhe. Membe alieleza pamoja na mambo mengine kusikitishwa kwake na namna baadhi ya watu wanavyodharau na kuiita dhaifu serikali ya awamu ya nne ambayo anadai imechaguliwa na wananchi. Mhe. Membe alisema ni kosa kubwa kufanya hivyo na akapinga tabia ya kuihusisha serikali na kila udhaifu au hali mbaya ya kimaisha inayoikumba nchi na wanachi wake.

  My take:
  (1) Heshima ya serikali kutoka kwa wanachi inatokana na matendo ya serikali yenyewe kwa wanachi wake. Heshima kamwe hailazimishwi kutolewa. Na kama ikilazimishwa hiyo siyo heshima. Neno dhaifu halikuwahi kutumika kwa marais wa awamu ya kwanza, pili na ya tatu. Hali inayoashiria kwamba awamu hii imevuka kiwango cha kutowajibika kwa kiwango stahili.

  (2) Serikali iliyopo madarakani ndiyo inaweka mipango na kuamua viwango vya kodi wanayotozwa wananchi kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya wananchi wanaochangia kodi. Wananchi wanapoona maendeleo hayapatikani pamoja na rasilimali zilizopo wamlaumu nani kama siyo serikali!!? Kwa ujumla, ni vigumu kutenganisha hali ngumu ya maisha na utendaji wa serikali.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  waweza kuchagua mume na bado ukajua ni "zaifu".... au waweza kuchagua mke, badae ukajua ni kicheche tu...

  KWAHIYO bEN ASITUSUMBUE NA KULAZIMISHA "AS IS" TIME INA FACTOR KUBWA

  ILA SINA HAKIKA KAMA SERIKALI NI DHAIFU AU MEMBE NDIO DHAIFU:eek2: MAANA KAMA KUNA MTU NADHANI HANA PRODUCT YOYOTE YA KUJIVUNIA TANGU AWE WAZIRI.... HANA PRODUCT YOYOTE ZAIDI YA ANECDOTAL MEDIA REFLEXES
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kingcobra, Membe hapaswi kulaumu. Serikali ya awamu ya nne imejidharaulisha yenyewe. Asitafute mchawi atapoteza muda wake bure. Mchawi wa serikali ni serikali yenyewe.
   
 4. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  A typical characteristic of the Kikwete administration
   
 5. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni udhaifu tu hakuna neno zuri kama hilo.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MEMBE KWANGU MIMI NI MLIMBWENDE TU anayekurupuka kuua soo zake za akina kaddafi
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Alisema nchi hachukuliwi na pickup walibya wakachukua anasema Rais siyo dhaifu imeshajidhihirisha ni mdhaifu na serikali yake ikiwemo yeye mwenyewe membe
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hana hoja membe akae chini tu
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jamani! tulishakubali kufuta neno DHAIFU,na tukakubaliana litumike neno LEGELEGE au GOIGOI.
   
 10. J

  Juma Kilaza Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Membe ni mtu wa kupuuzwa.
   
Loading...