mnajua sababu za kumpeleka MKENYA mahakamani, na viongozi wa CHADEMA?

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,620
4,265
POLICE mmoja juzi tar 15, aliniambia kuna mpango wa kuhakikisha yule MKENYA anapelekwa mahakamani haraka iwezekanavyo bila kujali uhalali wa mtuhumiwa huyo. huu ni mpango maalumu wa kuzuia jambo hili kuhowa au kujadiliwa na mtu yoyote hasa baada ya kugundua kambi ya upinzani imepanga kuleta baadhi ya maelezo yanayoonesha serikali kuhusika na tukio hili, katika mjadala wa wizara ya mambo ya ndani leo tar 17.

hivi ndivyo ilivyopangwa kuzuia kambi hiyo kutolea maelezo kuhusu mauaji ya m/kiti wa UVCCM kata ya Ndago. serikali ilihakikisha viongozi wa chadema wanapelekwa mahakani kabla ya mjadala wa wizara hiyo ili kanuni ya 48 ya bunge inayozuia kujadili mambo yaliyo mahakamani.

Na kwa hilo, nimehakikisha leo jinsi MHE. LUKUVI na MHE. WEREMA Walivyokomalia suala hilo leo.
 
Back
Top Bottom