Kuna Haja Gani ya Kuomba Kibali Polisi

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Binafsi nimeshtushwa na taarifa ya Chadema kuwa vijana wanaodaiwa ni CCM walikuwa wanarusha mawe katika mkutano wa Chadema bila polisi kuchukua hatua yeyote. Taarifa zinadai kwamba baada ya mashambulizi kuendelea baadhi ya polisi walikula kona, katika kile kinachoelezwa kuwa ni mpango wa polisi patokee na vurugu. Kama huo ndo weledi wa polisi, basi wananchi wanazidi kupoteza imani nalo. Mauaji ya singida ni moja ya matukio mengi ya kisiasa yenye mkono wa polisi. Najiuliza Je kuna ulazima wa kutoa taarifa polisi kuhusu mikutano na maandamano?
 
hakuna haja kwa mtazamo huo! Police wezi,majamboz,majangili,wauaji,wavunja amani.n.k
 
Back
Top Bottom