BAKWATA wamuunga mkono TUNDU LISSU...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wakili Msomi,Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki,Mh. Tundu Antipas Lissu amepata uungaji mkono. BAKWATA wamejitokeza kimatendo kumuunga mkono Mh Lissu kwenye hoja ya kurejeshwa Tanganyika.

Hivi punde,Mufti wa Tanzania Shekhe Issa Bin Simba amemteua Shekhe Manzi kuwa Kadhi Mkuu wa Tanganyika. Tanganyika sasa yatakiwa pia na BAKWATA. Ngoma inogile. Hongera BAKWATA,tuseme hivyo hata kabla ya Katiba mpya...
 
wao wanadai ameteuliwa na waziri mkuu na si bakwata.......
 
Wakili Msomi,Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki,Mh. Tundu Antipas Lissu amepata uungaji mkono. BAKWATA wamejitokeza kimatendo kumuunga mkono Mh Lissu kwenye hoja ya kurejeshwa Tanganyika.

Hivi punde,Mufti wa Tanzania Shekhe Issa Bin Simba amemteua Shekhe Manzi kuwa Kadhi Mkuu wa Tanganyika. Tanganyika sasa yatakiwa pia na BAKWATA. Ngoma inogile. Hongera BAKWATA,tuseme hivyo hata kabla ya Katiba mpya...

Ngoja ntafikiria baadaye..... Lakini nahisi hapa, kuna mbumbumbu anajaribu kutekenyatekenya jambo la msingi......Kuchanganya dini na siasa..................... Kibaya zaidi ,Most of the human race are not wise enough to discover,how BEST to approach the two controversial foes........

Mwana JF Mmoja amtafutie Lissu Bukta ya bluuuuuuuu .......... Si anaenda fORM SEVEN (JKT) !!!!!
 
Back
Top Bottom