Wezi wa fedha za safari za raisi wako wapi?

bagain

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
362
225
Wana JF,

Inasikitisha sana kuona watu wanaoiba fedha nyingi ambazo ni kodi za umma hawachukuliwi hatua stahili.

Sakata la wizi wa hela za safari za raisi sasa linaonekana kupoa na kuwa kimya kabisa, kwa nini wasifikishwe mahakamani?

Au ndo ule utamaduni wa RAISI kusamehe WEZI kama ilivyokuwa kwa wezi wa EPA?

Au ndo ukimya wa RAISI juu ya mabilioni yaliyoko USWISI?
 
Back
Top Bottom