Lukuvi na Speaker wavuruga Hotuba ya Kambi ya Upinzani sasa hivi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lukuvi na Speaker wavuruga Hotuba ya Kambi ya Upinzani sasa hivi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKL, Jul 17, 2012.

 1. MKL

  MKL Senior Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NI kwamba Lukuvi anasema msemaji mkuu wa wizara ya Mambo ya ndani haruhusiwi kusema chochote kilichopo mahakamani kwa kuwa itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama lakini tundulisuu ana wengine wa CDM wwanahoji mbona jana CCM walijadili kutwa nzima kuhusu mauaji ya katibu Iramba na Spika hukusema lolote wakati watuhumiwa tayari wameshafikishwa mahakamani?

  CDM wanasema wanachokisema si kuongea mambo yaliyopo mahakamani ila wanaorodhesha matukio muhimu yaliyopo mahakamani bila kutaja ni kesi namba ngapi, na inamuhusu nani au kesi hiyo inasikilizwa na nani cha muhimu ni kwamba maoni kambi ya upinzani ipewe nafasi ya kusomwa na isikilizwe.
  Speker ameamuru ukurasa mzima unaohusu swala hilo urikwe hadi itakapodhihirika wazi kuwa kesi hizo zipo mahakamani
  Ninachojiuliza ni kwamba; kwanini wapinzani wakitamka mauaji yanayofanya ya askari polisi Lukuvi anakimbilia kwenye angle yanyamazisha hoja na anasikilizwa wakati ccm wakiyaongelea wanaachwa na huyo huyo Lukuvi hanyanyuki kuomba mwongozo nao wanyamazishwe?

  Kwa kweli leo nimeshuhudia uonevu wa wazi wazi....... ama kweli haki nchi hii inahitaji zaidi ya jasho kupatikana.........

  SOURCE : BUNGENI SASA HIVI TBC? star TV
   
 2. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Ndugu yangu hawa watu wameshikwa pabaya na wameamua liwalo na liwe, ama kweli Pinda alimaanisha jambo. Ila mwisho wao utapatikana tu na wataonja joto ya jiwe.
   
 3. L

  LISAH Senior Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unategemea nini wakati speaker ni mama Ana Makinda?
  Lukuvi naye yeye kakaa kidefensive tu, hata pale anapoona pana ukweli anataka kupindisha ili mradi kutetea uozo
   
 4. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wanajichimbia kaburi tu.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Mahakama bado ni mali ya CCM
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  wanajipoteza wenyewe wangekuwa na akili kidogo wangekaa kimya tuu na mambo haya yangepita kama upepo,ila wanapoanza kuyapinga ndio kuyakuza huko na hili linawaua wenyewe kwani CDM wana strategy nyingi wakizibwa mdomo bungeni watayaleta CDM Square na sisi wasikilizaji tutayasikiliza na kufanya maamuzi
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  CCM hawajui kuwa wanazidi kujichimbia kaburi maana kujifanya wanazuia ndo wananchi wanakuwa na shauku ya kujua kulikuwa na nini hivyo kuzidi kupata mwanga wa mambo.Naona siku hizi neno "kesi iko mahakamani" linatumiwa vibaya ili kujaribu kuficha uovu wa viongozi waliopewa dhamana.Kazi ipo!
   
 8. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Hata Adolf Hitler alichaguliwa na watu 'kidemokrasia'. Lakini akageuka kuwa fashisti na chama chake cha 'Nazi' kwa kutumia askari wake SS walifanya unyama mwingi. Hatima yake inajulikana. Sasa ccm na serikali yao na jeshi lao la policcm na TISS wajue dawa yao inachemka.
  Mpaka Kieleweke!
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Kazi kweli kweli yani wanashikwa pabaya wanakimbilia mahakama
   
 10. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yaani jamaa zangu wanajichimbia kaburi kwangu mimi kila unapopoka haki ya cdm bungeni unaiongezea wapiga kula millioni ihirini na tano(25000000)
   
 11. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Baaba ya neno Interejensia kuisha radha wameamua kutumia neno Kesi ipo Mahakamani.CCM bwana.....
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  haya mnayoongea Tundu Lissu na wenzake wanayaelewa lakini nina wasiwasi na hawa baadhi ya watu wa CCM kama uelewa wao unafikia huko, bado wamo ndani ya boksi na hata wale wanaotaka kuwasaidia kuwapa uhuru wa kufikiri hawawaelewi kabisa!
  Cha kusikitisha kabisa, nimeangalia profile ya Mh. Mwigulu Nchemba ambayo inaonekana ni nzuri lakini ni tofauti kabisa na mambo anayoyafanya! Lakini cha kushangaza akina January Makamba na Deo Fujikunjombe naona hawaongei, wako kimya. Sasa nashangaa ni nani atawaokoa CCM.
  Moto haujawahi kufunikwa kwa majani, tema makavu! Waheshimiwa Lukuvi na Makinda, nchi hii mmepewa ikiwa na amani lakini hautapita muda nanyi mtakuwa linked na tukio la mauaji ya Iramba.

   
Loading...