Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMISS MLOO MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012. Yametangazwa leo tarehe 17/07/2012,Ofisi za CUF Buguruni...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
leo kulikuwa na press Conference CUF na haya ndiyo yaliyojiri MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMIS MLOO MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwakuo hoja nyingi bungeni na wabunge kuzibwa midomo kutokana na katiba yetu na sheria zake mbovu kutojali maslai ya wananchi je Tumejifunza nini? Pia tukumbuke serikali imetumia huu mwanya...
0 Reactions
1 Replies
47K Views
HOTUBA YA MSEMAJIMKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA VINCENT JOSEPHAT NYERERE (MB), KUHUSUMAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 WIZARA YA MAMBO YANDANI YA NCHI (Kanuni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakati wa Uchaguzi wa mwaka 1995, NCCR Mageuzi kwa upande wa bara, na CUF kwa upande wa Zanzibar vilionekana kuwa ni vyama shindani vyenye nguvu. Mambo hayo yamebadilika hivi sasa, ambapo CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
ndani ya kika cha bajeti wizara ya mambo ya ndani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni aibu kwa Mbunge wako kuunga mkono hoja 100% kisha anaanza kuiomba na kuikosoa serikali kwa kutoa mapovu mengi maana yake nini? Mbunge kama huyo uwezo wake ni mdogo, amehongwa, anaijali...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mama Karume anaheshimika sana si tu kwa umri wako, bali hata kwa kuwa mke wa Mzee wetu, Mzee Abeid Amani Karume,mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Nimesoma leo magazeti kadhaa...
7 Reactions
83 Replies
9K Views
Ndugu wanaJF, ofisini ninapofanya kazi akitokea mbunge kutoka kambi ya ushindani kuchangia hoja bungeni wafanyakazi wanasogea karibu na screen ya TV na anapotokea wa CCM wanarudi kwenye viti vyao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mashabikiwa CHADEMA, kama mnakusudia kuchukua nchi hii 2015, basi muanze kuonyesha busara na hekina ya jinsi mnavyoweza kuwazidi wapinzani wenu wakuu kwa hoja na uafahamu wa mambo na mbinu za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
From Mwanahalisi: Katika sakatala Richmond, Kikwete alishauriwa na hatimaye akakubali kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge. Kikwete hakujua mkenge aliokuwa anauingia. Alipotoshwa na washauri wake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu WanaJF, Kwa muda sasa nimeweza kuona kwamba kuna mambo ambayo serikali ya CCM imekuwa inayafanya ambayo yanaweza kuhatarisha amani ya nchi hii. Mambo hayo ni haya yafuatayo: Moja. Kudhibiti...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Viongozi waandamizi wa Serikali wakimemo Wakuu wa Wilaya na Maofisa Elimu wa Wilaya katika mikoa kadhaa nchini, wametapeliwa mamilioni ya fedha na kikundi cha watu wanaotumia jina la Naibu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari za jioni wana JR! hapa nataka kuzungumzia kidogo bajeti ya 20012/2013 na marekebisho ya kodi ya magari! yako hivi a) hakuna excemption kwa wafanyakazi wa serikali, b) Magari ya mashirika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kunatetesi eti mb wa kigamboni mh faustine amezuiwa kwenda kigamboni iLi kuepusha vurugu, Imekaaje? Hiyo.maana watu wanataka kujitenga
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) Sabrina Sungura amewalipua viongozi Waandamizi wa CCM...Mwigulu Nchemba (Mb) na Wilson Mukama. Nchemba ametajwa kwamba kila kampeni za uchaguzi mdogo alizosimamia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jioni hii live tbc waziri tibajuka anena kiprofesa. Maneno ya nguvu kuwa "hakuja nyumbani kutoka un ili aje kupambana na maskini bali kaja kupambana na umaskini"
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kikao cha madiwani wa ccm kilichokaa jana kimempitisha Mh lota laizer Diwani wa Kata ya Baraa kuwa mgombea wa kiti cha naibu meya,awali walikuwa madiwani wa Moshono mh Paul matsen na mh Ole...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuesday, July 17, 2012 Picha za Watu Sita Waliopandishwa Kizimbani Mjini Singida,Kujibu Shitaka la Mauaji ya Mwenyekiti UV-CCM Kata ya Ndago Wilaya Iramba,Yohana Mpinga na Afisa Sera na Utafiti...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom