Mwenge na bajeti ya mafuta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenge na bajeti ya mafuta.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by paul vicent, Jul 17, 2012.

 1. paul vicent

  paul vicent Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Leo nipo wilayani kilosa mkoa wa morogoro katika kijiji cha ruaha. Nimeshudia mbio za mwenge zikipita na msafara wa magari yasopungua therathini du!

  Nilishtuka kidogo kuona kitu kinachowezeka hata kwa magari kumi tu au matano kuchukua bajeti kubwa ya mafuta na huduma za wakimbizaji.

  Huku tanzania bado ikilia kuwa maskini.nikaona hapa kuna tatizo la wataaramu wa uchumi au viongozi wanatumia kubashili mwisho ndio wanangalia mahesabu.
   
 2. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  unafungua mradi wa milioni 4,halafu unatumia bilioni 20 kukimbiza mwenge.....
  kulikoni taifa la wajinga hili.....!
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ukiuliza utaambiwa hili nalo linahitaji katiba irekebishwe na inasubiriwa maaoni ya wananchi
   
Loading...