Niliyojifunza katika siasa za CCM na CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niliyojifunza katika siasa za CCM na CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dijovisonjn, Jul 16, 2012.

 1. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yametokea mengi sana kwenye siasa za CCM na CHADEMA!
  Na yafuatayo ni baadhi ya niliyoweza kujifunza.
  1) wabunge wa vyama vyote vya siasa ndani ya bunge plus AG, 95% they talk about their parties interest na 5% tu they talk about public interest!
  2) weakness ya chama kimoja ni advantage ya chama kingine!
  3) kila upande upo makini kuwin majority support na wakat mwingine wako radhi kumtoa sadaka mwenzao for the party advantage.
  4) hakuna chama cha kweli cha kumtetea mtanzania kwa dhati!
  5) watanzania wengi tunawaza kwa kutumia mawazo ya viongozi wa hivi vyama, kwa sasa wengi hatuna mawazo huru.

  My take: vyama vya siasa vina 5% tu ya kututoa kwenye umaskini na 95% tunayo sisi wenyewe watanzania!
   
 2. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  so what?
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  Asante CDM kwani sasa elim ya uraia mnayoitoa imenikamata vilivyo.
   
 4. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Take action by yourself not depend on political parties!
   
 5. delabuta

  delabuta Senior Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mawazo mgando hujaelewa elimu ya uraia ndugu.
   
 6. C

  Cartoons Senior Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  2) weakness ya chama kimoja ni advantage ya chama kingine!
  3) kila upande upo makini kuwin majority support

  hiyo ndiyo maana ya siasa na mdio mbinu sahihi za kisiasa
   
 7. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hope everything in life is touched by Politics men!!!!!!!!!!!!!!!!
  hayo mawazo yako ni potofu kwani kwa kupata kwako pesa kutatengeneza barabara zako mwenyewe, utanunua madawa ya hospitali na vitanda kwa pesa zako mwenyewe? TAFAKARI CHUKUA THEN CHUKUA HATUA
   
 8. piper

  piper JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Njozi ya kusadikika, naona umetumwa na magamba kunitoa kwenye mood, stahili yako nikukuignore
   
 9. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pumba tupu; mpaka nimechangia basi hamna la kuchukua na hujui political science inabidiu uende shule; siasa za tanzania sasa zipo junction na watu wameelewa; ila ccm sasa mnajaribu kupin ubaya wa ccm ni sawa na ubaya wa chadema ili baadaye mjenge hoja za cuf na udini nk; ukweli utadumu milele acha pumba na ushabiki kuwa objective
   
 10. akilimtindi

  akilimtindi JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 423
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha kugawa wenzako kimawazo
   
 11. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Unasemaaa? Niibe kwa kadri niwezavyo, nifisadi zaidi na nile rushwa mwanzo mwisho kwa sababu hakuna chama kitakachonisaidia?
   
 12. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Labda ni kweli sijaielewa elimu ya uraia lakini hayo ndiyo niliyojifunza!
   
 13. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nakubaliana na wewe 100%! Na hcho ndicho nlichojifunza!
   
 14. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndo maana nimesema political parties wana 5%
   
 15. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hicho ndicho nilichojifunza, kama unaona ni njozi basi unaweza kuniamsha!
   
 16. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naamini naijua political science zaidi yako, naamini hufahamu maana ya neno ''niliyojifunza''
   
 17. Dijovisonjn

  Dijovisonjn JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimewagawa kivipi?
   
 18. D

  Dabudee Senior Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Action at what level? There are certain resposibilities that can only be done by governments (in most cases led by political parties). If governments fail to deliver, actions by individuals will not take them very far and could even be detrimental like when people inflict mob justice on those they judge to be criminals because they feel the justice system is not performing for some reason or other.
   
 19. piper

  piper JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni mtazamo tu mkuu dont take it personally, naheshimu mawazo yako
   
 20. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,086
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ungeileta kwanza kama preview kabla ya kuipost, ulidhani umeleta kitu cha akili angalia sasa unavyoumbuka!
   
Loading...