Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa "Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matengenezo ya ndege ya ATCL iliyokuwa imepata ufa kwenye kioo cha mbele yalitarajiwa kukamilika jana, na ndege hiyo huenda ikarudi hewani leo. Iliruka bila abiria kutoka KIA hadi DAR mara baada...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu zoezi la ukusanyaji wa maoni juu ya uandishi wa Katiba linalohitimika sasa kwa Mkoa wa Kagera. Palipo wezekana nimefika na kushiriki kwenye "uwanja wa vita" ...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
ADC - DIRA YA MABADILIKO. ZOEZI LA UHAKIKI WANACHAMA ADC LINALOFANYIKA HIVI SASA LINAENDELEA VYEMA NA KWA MAFANIKIO MAKUBWA. ZOEZI HILI LILILOANZIA MJINI TANGA LIMEKAMILIKA AWAMU YA KWANZA KWA...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameizuia Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), kuchunguza sakata la kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku ni kitu cha kawaida kuzikuta siri nyeti za serikali mikononi mwa wasiokuwa serikalini. Zipo school of thought mbalimbali za namna ziri hizo zinavyofika mikononi mwa wasiohusika lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
0digg Leon Bahati SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameizuia Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), kuchunguza sakata la kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unaona wafanya biashara wakubwa kutoka Zanzibar wamewekeza Bara.kama BAKHARESA. TURKEY. na wengine ambao wanaingiza kodi kubwa kwa upande wa bara Lkn kwa upande wa Bara kwenda Zanzibar wengi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ALHAMISI, JULAI 19, 2012 05:41 NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM BARAZA Kuu la Uongozi wa Chama cha Wananchi (CUF), limetangaza kamati mpya ya utendaji ya Jumuiya ya Vijana Taifa (JUVICUF)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TAARIFA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KUFUATIA AJALI YA KUZAMA KWA MELI YA MV SKAGIT ILIYOTOKEA TAREHE 18 JULAI, 2012, CHUMBE...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Rais Kikwete alianza kutangaza siku 3 za maombolezo nchi nzima ya Tanzania, tena Rais Shein katangaza siku 3 za maombolezo kwa Zanzibar. Ina maana wazanzibari wataomboleza jumla ya siku 6 au ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tujadili hili la Mnyika kutolewa nje ya Bunge.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Lincoln pia aliendelea kudai kuwa washtakiwa Simba na* Diwani wa zamani wa Sinza, Salim Mwaking'ida kati ya Septemba 2009 na Februari mwaka jana, kwa makusudi walitumia vibaya nafasi zao kuharibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Suala la kuteswa Dr Uli 2. SInema ya Kova na Kichaa wake kuhusu utekaji wa Dr Uli. 3. Leo tena Spika wa wa Bunge wa CCM anakataa hoja ya kuahirisha kikao ili wabunge waweze kwenda ku participate...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 11 July 2012 ULIMBOKA ni neno la Kinyakyusa lenye maana ya Mungu uniponye. Neno hilo ndilo linatumika kama jina na ukoo wa Dk. Steven. Mtu akiwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa haraka kabisa Ningependa kujua kama hii meli na manaodha wake walituma any distress signal or performed SOS. Je walikuwa na facility hizi on board? Je vyombo vyetu vingine vina uwezo wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wazanzibar wana roho mbaya na wivu wa kimasikini bora wafanikishe adhima ya kuvunja muungano, na waondoke kwetu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) BY ORTON KIISHWEKO, 19 JULY 2012 Comment NDOVU Resources, a subsidiary company of Aminex Plc of UK has already hit 1.17 trillion cubic feet of gas at...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimeangalia video clip iliyorushwa na Star TV leo asubuhi, inayoelezea yaliyojiri bungeni jana baada ya Hamad Rashid kuomba muongozo na kujibiwa majibu ya kifedhuli na Spika wa Bunge (...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli wema usizidi uwezo;msemo huu nilipokuwa nikiusikia nilifikiri wanaoutumia msemo huu either walikuwa hawawatakii mema wenzao,lkn nimeona ni ukweli mtupu,watu hawa(wakimbizi)kwa muda sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom