Ndege ya ATCL iliyoharibika KIA, yatengenezwa DAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya ATCL iliyoharibika KIA, yatengenezwa DAR

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Komeo, Jul 20, 2012.

 1. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Matengenezo ya ndege ya ATCL iliyokuwa imepata ufa kwenye kioo cha mbele yalitarajiwa kukamilika jana, na ndege hiyo huenda ikarudi hewani leo. Iliruka bila abiria kutoka KIA hadi DAR mara baada ya kubaini ufa huo.
  Source: HabariLeo.
  My concern: - Ndege hiyo kama nayo ni chakavu sana bora iondolewe isije leta balaa.
  - Nasubiri kusikia gharama zilizotumika kubadili wind screen hiyo, maana gazeti halikuzitaja,usikute zinatisha.
   
 2. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35


  ..nayo pia ni ndege chakavu kama ile Meli iliyozama jana..?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni Ajari ya ndege kiumbe vs ndege ya kutengenezwa!
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Yaani tumekuwa watu wa kupenda mitumba mpaka akili zetu nazo zimekuwa mitumba.
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mimi nilishawahi kuongea kuwa hawa ATCL katika anga za usafiri walikuwa bado, wangejipanga kwanza na sio kukurupuka
   
Loading...