Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Unaona wafanya biashara wakubwa kutoka Zanzibar wamewekeza Bara.kama BAKHARESA. TURKEY. na wengine ambao wanaingiza kodi kubwa kwa upande wa bara Lkn kwa upande wa Bara kwenda Zanzibar wengi wa wabara ni wauza Nyungo,viazi, wantembeza mabeseni, visu, sabuni , mapeas. Wachoma mahindi, muhogo wa kuchoma. vitumbua na wengine wauza vinyago na walinzi wa mahoteli ambao hawaingizi pato kubwa kwa zanzibar
jee hali ya maisha ya Tzbara ni magumu au ? au ndio kero ya Muungano hii?
jee hali ya maisha ya Tzbara ni magumu au ? au ndio kero ya Muungano hii?