Adc uhakiki awamu ya kwanza wafanikiwa wavuka malengo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adc uhakiki awamu ya kwanza wafanikiwa wavuka malengo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hasan124, Jul 20, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ADC - DIRA YA MABADILIKO.
  ZOEZI LA UHAKIKI WANACHAMA ADC LINALOFANYIKA HIVI SASA LINAENDELEA VYEMA NA KWA MAFANIKIO MAKUBWA. ZOEZI HILI LILILOANZIA MJINI TANGA LIMEKAMILIKA AWAMU YA KWANZA KWA UHAKIKI ULIOFANYIKA TANGA, MWANZA, PEMBA, MARA NA UNGUJA AMBAPO KOTE HUKO CHAMA KILIFANIKIWA KUVUKA IDADI YA WATU 200 ILIYOWEKWA KWA MUJIBU WA SHERIA YA USAJILI WA VYAMA VYA SIASA. HALI ILIYOPELEKEA MAENEO YOTE HASA MWANZA, MARA, UNGUJA NA PEMBA BAADHI WANACHAMA KUONDOKA WAKIILALAMIKIA OFISI YA MSAJILI KWA KUWA HAWAJAHAKIKIWA BAADA YA MSAJILI KUFIKISHA IDADI ANAYOHITAJI, WAKIAMINI FIKA KWAMBA AMEWANYIMA FURSA YA KUINGIA KATIKA HISTORIA YA CHAMA MBADALA KINACHOTARAJIA KUCHUKUA UONGOZI WA NCHI HII BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2012.
  ZOEZI HILI LITAENDELEA TENA AWAMU YA PILI INAYOTARAJIA KUANZIA MKOANI DODOMA MNAMO TAR. 06-AUG-2012, KISHA TABORA, MTWARA, LINDI KISHA FUNGAKAZI NI JIJINI DAR ES SALAAM TAR 17-AUG-2012 ITAKAYOFUATIWA NA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA (tutawajuza zaidi kuhusiana na hili)
  17[1].jpg
  10[1].jpg
  18[1].jpg Ipala Kata.jpg NOTE: WANAJUKWAA NAWAJUZA TU KWAMBA HATUJAJA KUBIPU.
   
Loading...