Wajumbe wa mkutano mkuu wa kata moja huko sengerema kwenye jimbo la aliyekuwa waziri wa nishati na madini,Ndg.Ngeleja, wamepigana ngumi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni viongoz wa ccm kata hiyo...
Leo ni siku ya pili sasa, mji wa dodoma umeanza kuwa na mgawo wa umeme. Kwa maeneo ya Kisasa mgawo umekuwa ukianza mida ya saa 8 usiku hadi saa 4 asubuhi.
Leo ni siku ya pili mfululizo kitu...
Nimeangalia taarifa ya habari Itv,kwa kweli wamechukua muda wa kutosha kuelezea ajali ya meli iliyozama,pia wamehoji watu mbalimbali kuhusu tukio hili.Ilifikia kwa waziri Nyalandu,yeye akasema...
Miaka hamsini imepita.Uchumi hovyo,siasa safi hakuna,uongozi bomu,malazi duni,amani ya maigizo na kadhalika. Kwakifupi,tumeshindwa kujenga Taifa letu.Yawezekana tunashindwa kufuata ramani...
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameizuia Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), kuchunguza sakata la kusimamishwa kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi...
Wadau hotuba hii ilikuwa nzito sana na imeacha impact kubwa sana na mjadala mpana kwa mambo mbalimbali, please km kuna mtu ana video yote namuomba aniwekee hapa ili niwe naisikiliza kila siku...
JF,
While we are still pondering natural calamities following the ferry accidents near Zanzibar farmers in the Americas are facing drought unprecedented for than a quarter of a century...
Ni maneno yanayoudhi. Ni yanayoonesha kutojali na kutowajibika hasa pale panapokosekana Takwimu. Yapigwe vita. Maneno yenyewe ni haya:
1. 'wapatao'
2. 'takribani'
Ukiweza ongeza mengine. Ni...
Wanachama 3 wa cdm wamefungwa miaka 3 jela ktk mah ya mwanzo ya kijiji cha iyula wilayani mbozi.baada ya kuzuliwa kesi na mwenyekiti wa kijiji cha ichesa wilayani mbozi kuwa walitaka kumuua.kabla...
Napenda kuanza kwa kwa kunukuu moja ya semi muhimu sana katika utangulizi wa Ilani ya CHADEMA. "Ni wakati wa mabadiliko, na fursa ya kufanya mabadiliko ni huu uchaguzi wa 2010 na siyo 2015."
Kama...
Ajali Ya Boti Yamletea Kasheshe Spika Wa Bunge
AJALI ya kuzama kwa Boti mali ya kampuni ya Seagull July 18, 2012 ilizua hali ya kwanini ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya...
Wanafunzi wa shule ya msingi Hoho manispaa ya Iringa wamemzomea diwani (CCM) wa kata hiyo na kumuita fisadi.
Inasemekana mmoja wa hao wanafunzi alimrushia Mh. huyo mawe huku wengine...
Bunge la tanzania sasa lashangaza hata majanga mnaingiza siasa, je tutafika? Kuna haja ya kuwapima akili zao ili tubaki na wabunge wenye akili timamu tumechoshwa na vituko vyenu .je waungwana...
Ni pale aliposhindwa kuunganisha zanzibar na tanganyika kwa kuwatenga wahanga takribani 280 wa ajali ya meli kuzama kanakwamba ni "wazanzibari" mbaaaaaaali kabisa kuleeeeeeeee, na si chamwino wala...
Afisa tarafa anaruhusiwa kugawa eneo la kijiji au mtaa bila kuushirikisha uongozi wa kijiji au mtaa?? Afisa tarafa manispaa ya Morogoro kwa jina la Pakalapakala Mlenge amegawa eneo la ekari 50 kwa...
(Reuters) - Senior EU officials began a three-day visit to Mozambique and Tanzania on Thursday as the European Union looks to bolster aid and development in a rapidly growing region of Africa that...
Naomba maoni yenu wanajamii.
Kuna jambo limekuwa likinikera na kunifikirisha sana. Jambo lenyewe ni hii dhana ya kuwawezesha wanawake, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kunakuwepo na uwiano...
Dk. Ulimboka aanza mazoezi
Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka, aliyepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu inaendelea vizuri na kwa sasa anaanza kufanya mazoezi mepesi...
Naomba Mungu wote kwa pamoja tupate uelewa wa mambo yanayojiri hapa nchini kwetu! Siku hiyo sote kwa pamoja tutakubaliana kutounga mkono hawa wanasiasa! Na sanbaba
VIGOGO wa Wizara ya Nishati na Madini waliotajwa kuhusika katika sakata la uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kusaidia kupitisha makadirio ya matumizi ya wizara hiyo ya 2011/2012 watafikishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.