waziri nchimbi kapima upepo, kaamua kumkaanga Spika wa Bunge baada ya kutoa ukweli wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waziri nchimbi kapima upepo, kaamua kumkaanga Spika wa Bunge baada ya kutoa ukweli wake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jul 19, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimeangalia video clip iliyorushwa na Star TV leo asubuhi, inayoelezea yaliyojiri bungeni jana baada ya Hamad Rashid kuomba muongozo na kujibiwa majibu ya kifedhuli na Spika wa Bunge ( Namfananisha na Bi-Mkora wa katuni za gazeti la mwananchi). Mara baada ya wabunge wa vyama pinzani kutoka bungeni, nimemuelewa kifasaha ndugu Nchimbi baada ya kutoa kauli yake ....... Kumbe spika alikuwa na taarifa mapema kabisa!
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Nchimbi, Makinda na kampuni lao lote, wote si lolote si chochote zaidi ya kuwa viazi tu ambao wamepata bahati ya kutawala wajinga.
  Call your enemy what you are, and always tell exact opposite of the truth.
   
 3. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  spika hawezi kuahisha bunge kwa taarifa za kusadikika wewe v
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Wote ni wale wale tu, hakuna cha kukaanga wala kukaangwa maana hawataungua wala kuiva
   
Loading...