Wa tanzania mungu atupe nini zaid ya hizi chance kuing'oa ccm kwa nguvu ya umma

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
1.Suala la kuteswa Dr Uli
2. SInema ya Kova na Kichaa wake kuhusu utekaji wa Dr Uli.
3. Leo tena Spika wa wa Bunge wa CCM anakataa hoja ya kuahirisha kikao ili wabunge waweze kwenda ku participate katika tukio la Meli iliyozamisha na Pengine Kuua wapiga kura wao
4....
5....

Jaman Tuna ngoja nn, mie naanza na Hapa Mtaani kwetu kupachimba
 
tulia kijana hii ngoma inaiva taratibu itafika muda itajipa yenyewe,siunajua kama jipu!
 
Kwa ujinga wa watanzania kutokana na wengi wa watu kutopita vidato, hilo halitawezekana labda miaka elfu kumi ijayo.
Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.
 
1.Suala la kuteswa Dr Uli
2. SInema ya Kova na Kichaa wake kuhusu utekaji wa Dr Uli.
3. Leo tena Spika wa wa Bunge wa CCM anakataa hoja ya kuahirisha kikao ili wabunge waweze kwenda ku participate katika tukio la Meli iliyozamisha na Pengine Kuua wapiga kura wao
4....
5....

Jaman Tuna ngoja nn, mie naanza na Hapa Mtaani kwetu kupachimba
4... Majadiliano bungeni yote hayaruhusiwi kwa sababu kila hoja iko mahakamani hii picha ni kali sana inatakiwa wabunge wasipoteze pesa ya walalahoi kwa kulipana marupurupu yasiyo na impact kwa wapiga kura @3#$@^&
 
Sikubali na wala sitokuabali kuwa ngazi ya kuwapandishia watu wasiokuwa na sifa kwenye uongozi.Nitasimama kwenye ukweli,propaganda za wanaotaka nchi isitawalike nitaziweka kando hawana sifa kuwaongoza watanzania.Nitabaki kuamini kile ninachokiamini ilimradi kiwe sahihi.Sitofuata mkumbo wa wale walioshikiliwa akili.Akili yangu iko huru na itabakia kuwa huru daima.
 
Nikweli ila hawa wa TZ WENGI NI WATU WANAOFUTA UPEPO, NGOJA KUNA HAWA VIJANA KARIBU MILIONI WATAKAO PATA DIVISION ZIRO HADI MWAKA 2015,,,,, HAO NDIO WATAKUWA MAFUTA TAA NA WALE WALIOMALIZA VYUO HAWANA KAZI WATAKUWA BUNDUKI NA HAO WENGINE WATAKUWA RISASI, AMINI HAKUNA JIWE LITAKALO BAKI JUU YA LINGINE.
 
  • Thanks
Reactions: RC.
Sikubali na wala sitokuabali kuwa ngazi ya kuwapandishia watu wasiokuwa na sifa kwenye uongozi.Nitasimama kwenye ukweli,propaganda za wanaotaka nchi isitawalike nitaziweka kando hawana sifa kuwaongoza watanzania.Nitabaki kuamini kile ninachokiamini ilimradi kiwe sahihi.Sitofuata mkumbo wa wale walioshikiliwa akili.Akili yangu iko huru na itabakia kuwa huru daima.

Mkuu kichwa mbovu a.k.a Bichwa Bovu, we unaamini nini sas?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom