Manispaa ya Moshi ikiongozwa na Meya makini kutoka chama makini CHADEMA imeonyesha kuwa ni mfano wa kuigwa hii ni baada mgomo uliokuepo kuhusiana na ushuru kutoka sh 1000 mpaka 1500 kutikisa hali...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kagera kimeisambaratisha ngome ya Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, baada ya kufanikiwa kuwahamisha viongozi na wanachama 80 wa CCM akiwamo kada...
Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya...
Comments: 12 killed as former Washington ferry capsizes in Tanzania
source: 12 killed as former Washington ferry capsizes in Tanzania | Seattle Times Newspaper
A Zanzibar official says 12 people...
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana zikitambuliwa na Ndugu zao na kuruhusiwa Kuzichukuwa kwa ajili ya Kufanya taratibu za mazishi hapo katika Viwanja...
Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa taarifa usiku huu ikieleza idadi ya watu waliopatikana wakiwa hai ni 146 na kupata maiti 62.
Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari usiku...
Salaam,wana jf.Kwa kweli hili swali linaniumiza kichwa sana unakuta mtu ana qualities zote za uongozi like influence,organizing,kujenga hoja,mvuto na anajiamini tatizo pengine amekosa tu...
Juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao...
Swala la ardhi Tanzania inachukua sura mpya.Baada ya kusikia swala hili kwa machungu, nilighadhibika na kufunga safari hadi Kisarawe, cha kuchangaza ni kwamba yalikuwa yanasemwa mtandaoni kumbe ni...
1. Ukimwambia serikali ya sasa ni tofauti na ya awamu ya 1,2 na 3.Atakwambia kivipi wakati Jk kachukua nchi haina shule nyingi,wahitimu shule za juu sasa large in number..Ukimwamibia katika...
alimkalisha chini akidai ameshaifunga hoja ile.
HIvi kweli hawa watu wanashindwa kuona kama kuna haja ya kurusuhu hoja hii ikaweza kujadiliwa bungeni? Kwa nini wanadharau kiasi hiki katika mambo...
Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs...
Mkurugenzi mkuu wa TPDC amemaliza kwa sasa
Aliyoongea kwa ufupi
-Kuna visima vya Gas 60 mpaka sasa
-Kuna makampuni 18 ya utafutaji wa mafuta yapo nchini
-Tanzania utafiti ulianza 1952...
Ni mawazo yangu tu, wala usifikirie mbali sana. kwa wadau wakubwa wa siasa za Tanzania, naomba Dr. Slaa aimarishiwe ulinzi ikiwa ni preventive approach kwa hali ya mambo ilivyo hivi sasa hapa TZ...
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa"Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na...
Utasikia mfumo wa kikristo au wa Kiislamu hapa na pale katika siasa za Tanzania. Ninaandika kuwakumbusha kuwa tukae mstari wa mbele kupinga hoja za kidini ktk mijadala yoyote ya kitaifa isipokuwa...
Picha waliyonayo "Wadanganyika" kuhusu wanachofanya "Waishiwa" wao huko Bungeni
Picha waliyonayo "Wadanganyika" kuhusu wanachofanya "Waishiwa" wao huko Bungeni - wavuti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.