Idd Simba awasilisha hati yenye thamani ya 8billion | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idd Simba awasilisha hati yenye thamani ya 8billion

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jul 20, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Lincoln pia aliendelea kudai kuwa washtakiwa Simba na* Diwani wa zamani wa Sinza, Salim Mwaking'ida kati ya Septemba 2009 na Februari mwaka jana, kwa makusudi walitumia vibaya nafasi zao kuharibu hisa* milioni 7,880,330 zisizotumika, mali ya Uda.

  Katika hatua hiyo ya awali, Wakili Said El- Maamry anayemtetea Simba akishirikiana na Wakili Alex Mgongolwa waliiomba mahakama impatie dhamana mteja wao.

  Kwa upande wake, wakili Lincoln aliiambia mahakama* kuwa hana pingamizi na ombi hilo kwa sababu mashtaka yanayowakabili washtakiwa yanadhaminika.Hakimu Mgeta aliwataka washtakiwa* kutoa hati ya nyumba, kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambao kila mmoja wao asaini bondi ya Sh 500 milioni .

  Baada ya kutolewa kwa masharti hayo, Iddi Simba aliwasilisha hati yenye thamani ya Sh 8 bilioni ambapo hata hivyo alilidhia wenzake waitumie kupata dhamana.

  Source:Today mwananchi news paper

  My take
  Naona Sika izi lime kuwa jambo la kawaida mtu kuwa na hati zenye thamani ya mabilioni!Tena am told iyo ni Nyumba tuu leave alone asset zingine And yet Tz is one of the poorest nation in the world but having several rich people
  Serikali maskini ila watu wake matajiri
   
 2. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Si yule wa Pride Tz? ...ndiyo maana aliikalia kooni DECi
   
Loading...