Kuna dalili za kila namna za kuwakera upinzani hasa wale viongozi ambao ni vinara ili tu waudhike na wafanye mambo ambayo baadhi ya viongozi wa CCM wanaweza kutumia kama kigezo cha kuthibitisha...
Wakuu heshima!!
Namiulizeni mnijuze hivi kesi ya mkenya wa kova anayetuhumiwa kumteka na kumtesa dr. Ulimboka itatajwa lini na iko mbele ya hakimu gani?
Kwa kuwa kesi hii ina mvuto kwa jamii...
Tanzania tunahulka ya kuchagua chama na rangi yake bila kuangalia uwezo wa mtu. Mbunge kijana Deo Filikunjombe Haule wa Ludewa anafanya makubwa jimboni mwake na hivyo kuwafunika wabunge wote...
Thursday, July 19, 2012Shughuli za Kutambua pamoja na kuzika maiti zilizokosa kutambuliwa
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli ya Skagit iliozama hapo jana zikitambuliwa na Ndugu...
Majibu aliyotoa BUNGENI leo kuhusu HOJA ya LISSU hayafai kutolewa na MTUMISHI na MWANASHERIA MKUU wa nchi kwani yeye hakuulizwa lile swali bali lilitolewa kwa SPIKA na hatimaye LUKUVI akasema...
BOFYA HAPA: 250 wazama Zanzibar
Naanza kwa kuwapa pole wananchi wote walipoteza ndugu zao na wale walionusurika katika ajali ya kuzama kwa meli hapo jana 18/07/2012.
RIP Marehemu wote...
Wanalalamika hawalipwi inavyostahili kulingana na kazi wanayo ifanya ambayo huwa wanafanya mpaka usiku wa manane
ikizingatiwa fungu limeongezeka katika bajeti mpya.
UPDATES: Msekwa amekiri Nape...
Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
Breaking...
jeshi la uokozi majini juzi walilala usingizi eti kisa giza wakati ndugu zetu wakiwa wanazama, bila matumaini yoyote.
Sioni kwanini tuendelee kuwapa mshahara wakati kila majanga ya kuzama kwa...
Comfirmed:
Waziri wa Kilimo chakula na Ushirika anaendelea kusoma Bajeti yake huku bunge likiwa na wabunge 23 tu baada ya wabunge wengine wa Upinzani kutoka na Wengine wa CCM wakiwa hawaonekani...
itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa...
""Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza sayansi ya vinasaba (DNA) itumike mara moja kusaidia zoezi la utambuzi wa miili ya watu waliopoteza maisha yao...
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani...
kuna kila haja na kuifanyia mabadiliko sheria ya gharama za uchaguzi (Election Expenses Act 2010) kabla ya 2015 election. kwa wale walio soma sheria hii watakubaliana na mimi inamapungufu makubwa...
Jamani nauliza: Inakuwaje inakuwa vigumu kwa wananchi kujikomboa kutoka makucha ya 'wakoloni weusi' kuliko kutoka kwa 'wakoloni weupe?'
Nakumbuka ilichukuwa miaka michache tu kwa wananchi...
Vigogo wa tanesco wazidi kutapatapa sasa wakimbilia bungeni na wamwaga michuzi kwa wabunge hasa wale wa kamati ya nishati na madini na ile ya kina zitto. baadhi ya wabunge wapokea michuzi hiyo...
Ndugu wana Jamii wenzangu,
Imekuwa kawaida sasa kwa kiti cha Speaker kufanya hila na mbinu zote chafu kuilinda serikali kwa Hali na Mali na kiti cha speaker kuwanyima wabunge haki Yao ya kikatiba...
Spika ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kukataa hoja ya Mh. Tundu Lissu ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo la dharura kuhusiana na ajali ya meli iliyotokea kwa kuchanganya kanunh za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.