Siri za Serikali "like desolve like" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri za Serikali "like desolve like"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yusufummaka, Jul 19, 2012.

 1. y

  yusufummaka Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ni kitu cha kawaida kuzikuta siri nyeti za serikali mikononi mwa wasiokuwa serikalini. Zipo school of thought mbalimbali za namna ziri hizo zinavyofika mikononi mwa wasiohusika lakini nimeiamini ile falsafa ya "like desolve like". Inasemekana vyama vyetu vya siasa vya upinzani vimejikita kikanda, kikabila na kidini zaidi kuliko kiitikadi za kisiasa hasa kutokana na historia ya uwanzishwaji wake. mfano CUF imetokea Pemba, CDM kimetokea Kaskazini zaidi, NCCR kimetokea Kanda ya Ziwa na Kaskazini, n.k. Kwasababu hii wafanyakazi walio Serikalini waliotokea eneo na kanda moja kilipotokea chama fulani basi wanawajibika kukiunga mkono chama husika japo kwa kutoa siri nyeti zitakazosababisha kukipa nguvu na kukidhoofisha chama tawala kwa vile wao hawana cha kupoteza hata kama serikali itafanya vibaya wakati wa uchaguzi. Wanaamini kuwa chama kile kikishinda uchaguzi na wao watakuwemo tu kwenye system na kufaidika kwa namna moja au nyingine. Inasemekana mfanyakazi aliyetoka kanda moja na chama fulani bila kujali aina ya taaluma yake, cheo chake, na eneo analofanyia kazi lazima afanye kitu kukisaidia "chama chao". Hivyo wingi na aina ya siri zitakazovuja itategemea pia na wingi na position walizoshika wafanyakazi waliotokea eneo na kanda moja na chama husika. Njia hii inachangia asilimia 70 ya kuvuja kwa siri nyeti za Serikali. 10% inachangiwa na mashabiki wa vyama husika bila ya kujali dini na kanda ya waasisi wake. 19% ya kuvuja kwa siri za serikali inachangiwa na wanachama na mashabiki wa chama tawala wasioridhishwa na namna jambo fulani lilivyoendeshwa ndani ya chama na serikali. Kundi lingine (1%) ni la wafanyakazi wanaokomoana ama kugombea nafasi za juu na maslahi kazini. Ushauri wa bure kwa serikali ijaribu kubalance wafanyakazi katika section na position mbalimbali watoke kanda na dini mbalimbali nchini. Mfano iko wizara moja naijua ambayo wafanyakazi wake makao makuu 97% ni wa dini na wa kanda fulani tu, hivyo hata kwenye uteuzi wa nafasi, semina na training mbalimbali za kitaaluma utakuta wanaoalikwa ni wafanyakazi wa dini ile na wa kanda ile kwa 99% hata kama wengine hawana sifa ama walishastaafu.
   
 2. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  jaribu tena....namaanisha jipange upya hasa kwenye conclusion in relation to statistical inference(s)!!
   
 3. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Myopic analysis!
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  wengine wanaposoma nyie mnachapana viboko kukaririshana mambo yasiyo na faida. Sasa hivi mnataka kuwa sawa kwa misingi ipi? Elimu ya mjinga ni majungu, hamuishi na fikra zenu za ukabila na udini? Lazima mtoke 2015 tuwafundishe namna ya kuwaneemesha watanzania. Acheni ukabila wa kigogo na kirangi hapa.
   
 5. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  Mistari haina vina yenye vina haina maana, aliwahi kuimba msanii flani wa bongo flava, tena mistari mingine anasema si lazima wote tuimbe, wengine wangebaki mashabiki. Nimeikumbuka hii mistari baada ya kusoma Pumba hapo chini, jamani si lazima wote tutoe hoja hapa wengine bakini wasomaji tu yatosha!
   
 6. R

  RC. JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo haya yapo mahaakamani msiyazungumzie!!
   
 7. C

  C-Amor Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwa nini sisi watanzania tunapenda kua papet wa wanasiasa leo wanasema hichi tunasikiliza kesho wanasema hichi tunasikiliza, mwisho wa siku chuki zao na matatizo yao yanakua yanajileta kwetu yanatutengenezea chuki kati yetu sisi na mwisho wa siku sisi ndo tunakua tukikumbwa na matatizo. jipende wewe kwanza siasa baadae
   
 8. y

  yusufummaka Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Message sent and delivered
   
 9. T

  Twigwe Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna hoja kajipange ukuje tena, umecook data zako, nawewe hufai unachonganisha wanachi toka hapa
   
 10. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Dhaifu in another silly season.................
   
 11. P

  Penguine JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  WEWE NI DHAIFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na mpanda chuki, mkabila na mnyonya damu wa mabwepande.

   
Loading...