kibonde aiponza Wizara ya Habari utamaduni na Michezo

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa "Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na Spika ni Utovu wa Nidhamu: Kauli hiyo imekuwa chungu sana Maskioni mwa Wabunge ambao wamepanga Kuikwamisha bajeti ya Wizara hiyo hadi hapo atakapoomba msamaha,pia kitendo cha TBC kupika habari kimewakera wabunge wa CUF
Chanzo Mbunge
 
Mkuu hivi unauhakika na taarifa unayoisema? je wakati wa tukio la Meli kuzama ni wizara ya elimu na utamaduni wilikuwa inajadili au ni ya ulinzi na usalama?
 
Back
Top Bottom