Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa wanasheria kwa kushirikiana na vyombo vya habari kuelimisha umma wa watanzania ili tuelewe nini mantiki ya jambo lilliloko mahakamani kwa maana ya kutolijadili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu tukikumbuka ajali ya Nungwe rambi rambi nyingi zilitolewa na tumeshuhudia balozi seif ldd akiendelea kupokea lakini hatujashuhudia akiwakabidhi wafiwa wa ile ajali. Jana tena ajali ya boti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 250 18 Jul 2012 WAKATI uchunguzi wa kimataifa ungali ukiendelea,Raia Mwema limethibitishiwa kuwa Rais mstaafu aliyepata kuongoza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri asiye na Wizara Maalum Mh Mansour Yussuf Himid Written by Ashakh (Kiongozi) // 18/07/2012 // Habari // No comments Waziri asiye na Wizara Maalumu katika Serikali ya Mapinduzi ya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Nchi hii serikali yake haina jipya na hata haina lepe la aibu na haina cha kutueleza wananchi,,ikumbukwe mwaka 1996 Mv Bukoba ilimaliza roho za watu zaidi ya 2800,Tren ikamaliza maisha ya watu...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Meli iliyozama ni meli iliyonunuliwa na Tanzania kwa serikali ya marekani baada ya kugundulika hawezi kutoa huduma ya usafiri marekani... sasa wewe mtanzania unaweza kutengeneza ki2...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Poleni watanzania wenzangu, pamoja na walipotelewa na ndugu! RIP kwa wote waliopoteza maisha!! West Coast Ferries Forum - Skagit & Kalama Inakuwaje mtu mzima na familia yake anafanya maamuzi ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi kuna tuhuma nzito na dhambi ambayo itamuandama mh. Mfutakamba kwa kuwazulumu wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Mfutakamba wakati akiwa mkuu wa wilaya ya Kilolo alidiriki kuuza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), David Mwambigija, maarufu kama Mzee wa Upako na Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Mbeya Mjini, Lucas Mwampiki, ambaye pia ni Diwani...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakika Mungu amejaribu kuionesha Serikali ya Tanzania kutokana na Mzaha mzaha unaofanywa na serikali hii. Uzamaji wa Boti Zanzibar umetokea wakati Wizara ya mambo ya ndani kupitia majeshi yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni kwa sababu ya majanga yanayo tokea na mengi kwa sababu yauzembe wa baadhi yao na hakuna hatua zinazo chukuliwa. Kila siku tume tume bila majibu! Mtizamo wangu.
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Jamaa wa mmoja wa marehemu wa ajali ya Boti akiwa na simazi ya kuondokewa na jamaa yake katika tukio la ajali hiyo, baada ya kuitambua maiti ya jamaa yake iliopelekwa katika viwanja vya maisara...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
MOja kati ya sifa kuu ya wafugaji ni kuhama hama Wakazi wa dar nao wanahama hama kutoka na matatizo ya kukaa kwenye nyumba za kupanga ! Upo hapo ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Spika ametangaza leo bungeni kuwa posho ya siku moja ya wabunge wote wa Tanzania itachukuliwa na kupelekwa Zanzibar kusaidia shuhuli za uokoaji. Wabunge tunawashukuru sana kwa moyo wenu huu. Pia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naogopa Ulimboka asije akasema kuwa CDM imehusika na kuratibu mpango mzima,aloo ! Sijui CDM watafanyaje.:spy:
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hongereni wabunge wote kwa kutoa posho zenu za cku moja na kupelekwa katika maafa yaliyotokea z'bar..swali ni je, pesa zitawafikia walengwa? source; WAPO RADIO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mkichunguza kwa makini mtabaini kwamba Zamani babu zetu walikuwa na utaratibu mzuri sana wa jinsi ya kuwapata viongozi wao. Zamani mtuu uongozi alikuwa anapewa kutokana na sifa za mtu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani tujitokeze na tutoe ufafanuzi juu y dhana nzima ya kutojadili swala lililoko mahakamani...ongezeko la kuitumia mahakama kama kivuli inanitia kinyaa na niaibu kwa wanasheria nchini. Kwa nini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na msiba mkubwa uliolikumba Taifa kwa kuzama kwa meli ya Sea gull, Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuahirisha Mkutano wa leo wa Kigoma mpaka siku ya Jumapili jioni...!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr.Willy Lori ,kada wa CCM aliyepelekwa kugombea ubunge 2010 katika jimbo la Karatu na kusambaratishwa vibaya baada ya DR.W.Slaa kuamua kugombea Uraisi amepewa ajira ya huruma na Mwenyekiti wa ccm...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom