Wazanzibari kuomboleza siku 6 (3+3)

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Rais Kikwete alianza kutangaza siku 3 za maombolezo nchi nzima ya Tanzania, tena Rais Shein katangaza siku 3 za maombolezo kwa Zanzibar. Ina maana wazanzibari wataomboleza jumla ya siku 6 au ni sawa na vifungo viwili jela vinavyokwenda pamoja?
 
Marais wetu hawa wanatia kichefuchefu. Kwani Kikwete akitangaza jambo la kitaifa kama hili la msiba haliwahusu Wazenji mpaka naye Shein atangaze!?
 
Nani alokwambia bara ni sehemu ya Zanzibar? Zanzibar ni Sovereign country yenye Rais, Amiri Jeshi, bendera, wimbo wa taifa, nk. Shein halazimiki kusikiliza ushauri wa Jk, kilammoja ana maamuzi juu ya taifa lake. Au unataka kusema Shein anasema chako chetu, changuchangu? Muelewe kuwa suala la muungano is quite an issue
 
Muelewe kuwa suala la muungano is quite an issue

ina maana issue hii tunaijua sisi tu JF bali JK na Shein hawaijui hadi kufikia kututangazia double double siku za maombolezo? Kwa nini wasitoe tamko la pamoja kama ni lazima wote waseme?
 
Back
Top Bottom