Nawaombea Wazanzibar wafanikishe kuvunja muungano

bid2015

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
306
59
wazanzibar wana roho mbaya na wivu wa kimasikini bora wafanikishe adhima ya kuvunja muungano, na waondoke kwetu!
 
Hawatafanikiwa,wanapenda mno kukaa tanganyika.Ni utoto tu ndo unawasumbua wakikua wataacha
 
Ama wee chiziii, watu wenyewe kazi yenu kulewa na vilabu mnadhani huo uchumi wetu hapa Tanganyika unaendeshwa na nani???

Maana madini ni ya vigogo sasa kodi za Wazenji si ndio mishahara yetu, fikiri kabla ya kusema kaka!!!
 
Back
Top Bottom