Vigogo wa tanesco waliosimamishwa wamwaga michuzi kwa wabunge wawatete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wa tanesco waliosimamishwa wamwaga michuzi kwa wabunge wawatete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steven Jeff, Jul 19, 2012.

 1. S

  Steven Jeff Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vigogo wa tanesco wazidi kutapatapa sasa wakimbilia bungeni na wamwaga michuzi kwa wabunge hasa wale wa kamati ya nishati na madini na ile ya kina zitto. baadhi ya wabunge wapokea michuzi hiyo inadaiwa ni milioni tano kila mmoja pesa hizo zimewalewesha na kuamua kuita waziri muhongo katika kamati na kumzomea awarudishe vigogo hao na waahidi kukwamisha bajeti ya wizara ya nishati na madini.

  hivi kweli kwa tatizo la umeme linalolikumba nchi hii kuna mtu wa kuwatetea mafisadi hawa wa tanesco ambao walizoea kuomba rushwa wakati tukitaka kuunganishiwa umeme sasa amekuja mchapa kazi wanataka kumkwamisha tena baada ya kuwaambua kwamba hawawezi kazi, hivi hawa wabunge tumewatuma wakawatete mafisadi au wakatutee sisi wananchi. eti washkaji nasikia hata kina Ole Sendeka na Zitto wamo kwenye mgawo huo wa mamilioni kumbe zile kelele wanazopiga ni kiini macho lakini mlungula wa Mhando wamechukua. kuna mmbunge mmojawao amenitonya eti walikuwa wanatete hadi mapovu yanawatoka jama pesa kumbe tamu hivyo hadi wametusahau huku sisi tuliotuma kwamba hatuna maji, umeme, barabara n.k. washkaji au twende huko huko Dodoma tukawachape viboko
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Wanadanganya. Mbona wizara imesha pitisha bajeti yake? Au una maanisha mwa ujao?
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Sijui huyu ni nani tena? Iisije ikawa rostam aka lowasa wapo kazini. Tunaomfahamu mhando hawezi kuwa mchafu hivi, pia zitto hana bei ya kununuliwa kwa milioni tano? Huu ni umbea ondoa huu uhoro mod
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  una ushahidi zito kapokea mgao au unaunguruma tu jf sababu hakuna wa kukukataza kupost?
   
 5. eumb

  eumb Senior Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Join Date : 19th July 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
  [h=2][​IMG][/h]
   
 6. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wacha kukurupuka weye!
   
 7. W

  Wanji Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Join Date : 19th July 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
   
 8. C

  CAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Good analysis!
   
 9. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wanamuonea zito wa watu yupo USA. Naona baada ya mipango yao kuwatimua kazi kufeli wanatapatapa
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  JK alipofanya mabadiliko ya baraza la mawaziri alisema sio tu mawaziri wameondoka na wakurugenzi wa mashirika pia...mmoja mmoja tunaona anatolewa...hapo JK nampa ka 'LIKE' kamoja
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa maelezo uliyoyatoa,inaonekana una chuki furani na watu furaka katika sakata hili na mbaya zaidi inaonekana ni sehemu ya sakata hili!
  Karibu sana JF,
  JF si uwanja wa majungu!
   
 12. T

  TATOO Senior Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani hao watu lazima wahudumie tanesco tu, si wasubirie wakapangiwe kazi zingine kama wanadhani wameonewa? au tanesco ndio kuna chaka la kuficha wezi au ndo shamba la bibi? au ndo mradi wa kupeana vijiti wa mafisadi.....hawana haja ya kulalamika ili hali wamesimamishwa kama kweli ni wasafi watapangiwa kazi nyingine sio lazima walilie tanesco...we mhando na wenzio baba yangu nakuombeni mtulie mpangiwe kazi nyingine...mbona mnataka kuwa kama rafuki yangu maige???? kulikoni lakini jaman hivi hatua za kinidham mnataka nani achukuliwe ndo haki ionekane imetendeka?? si akina mhando hawa na wasaidizi wake jamani?????!!!!!! hapa kwenye hii safu ya akina mhando hakuna kurudishwa alipokuwa kama mashirika ya umma yapo kibao kama kweli watendaji wazuri wapewe hata bodi ya pamba haina uongozi mzuriii..............
   
 13. K

  Kirokolo Senior Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Tanesco ni janga la taifa la karne hii, tanesco ni kihoja cha karne hii, tanesco ni tsunami katika maendeleo na uchumi wa taifa hili, tanesco ni tobo kwenye kinu cha kuyeyushia dhahabu, tanesco ni pango la wezi na wahujumu wakuu wa uchumi wa taifa hili, tanesco kwa muundo wa sasa na uongozi wake kamwe haisaidi watanzania, tanesco ni mali haramu ya watu wachache ndani ya shirika hilo na wakandarasi wachache wenye tenda ktk shirika hilo.
   
 14. K

  Kirokolo Senior Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Tanesco ni janga la taifa la karne hii, tanesco ni kihoja cha karne hii, tanesco ni tsunami katika maendeleo na uchumi wa taifa hili, tanesco ni tobo kwenye kinu cha kuyeyushia dhahabu, tanesco ni pango la wezi na wahujumu wakuu wa uchumi wa taifa hili, tanesco kwa muundo wa sasa na uongozi wake kamwe haisaidii watanzania, tanesco ni mali haramu ya watu wachache ndani ya shirika hilo na wakandarasi wachache wenye tenda ktk shirika hilo.
   
 15. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unamfahamu Mhando kweli wewe au ndio sehemu ya watetezi wake!! Kiongozi anayeweza kuajiri kuanzia mke hadi wadogo zake akawajaza ofisi anayongoza anaweza kuwa msafi katika kiwango unachotaka kukiaminisha hapa. Kiongozi anayetumia nafasi yake kuchukua tenda ya kuiuzia kampuni anayoiongoza maziwa kwa ajili ya wafanyakazi, na zaidi ya hapo akayachakachua kwa kuondoa cream na kuongeza maji!!!!

  Basi tunaomfahamu tangu akiwa Mbeya hayo ni mambo mepesi sana kwake na aliyafanya. Kwa nini tusiache uchunguzi ufanyike mambo yawe hadharani tunahangaika kumtetea, na hao kina Zitto mnataka kutuaminisha ni wasafi saaaana wasioweza pindisha ukweli, kwani wameanza leo kuifaidi TANESCO!!!!
   
 16. K

  Kirokolo Senior Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Hii nchi sijui tunakwenda wapi na tutaishia wapi. Jamani hili la tanesco kama ni kweli waliosimamishwa wanahangaika warudishwe litashangaza wengi pia naamini. Lile shirika ukimpa mtu mwenye akili timamu na anayelifahamu, katika hali liliyonayo sasa, kama hana agenda na maslahi binafsi hatakubali kulipokea. Shirika lina hali mbaya mno na sijui hao wanaoona wameonewa na wanata kurudi sijui wana motisha gani. Hili linashawishi kuwa kweli kuna madudu na uozo mkubwa wamefanya na sasa wanataka kurudi kuficha uchafu huo na wala siyo kwa sababu wansipenda sana kazi yao. Katika madhirika na taasisi zrtu nyingi kuwa wengi wa aina ya akina Mhando, wameyafanya mashirika hayo kuwa KARATA TATU ya kufilisi wananchi mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Jamani wanaJF, ni nani mmoja wenu anayefurahia huduma za tanesco?
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mshahara wa Tanesco mkubwa kuliko Mbunge? au sijaelewa hapa
   
 18. K

  Kirokolo Senior Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Jamani jamani jamani? Zitto na Sendeka ni majanga mengine. Zitto na ni mwanaJF, siyo msafi hata chembe. Najua ataomba ushahidi wa uchafu wake. Waliokuwa naye kwenye kamati ya madini chini ya Mhe. Jaji Bomani wanajua na wanajuana. Hakuna aliye msafi jamani, hata Jaji alikuwa anasaini na kupokea pesa ambaxo alijua siyo malipo halali. Mpiga pachanga Ole Sendeka ni mnafiki, muflisi wa fikra na mwenye tamaa na choyo ya ajabu kabisa. Anajua kabisa kuwa kura zake 2015 asilimia 90 zipo kwenye miradi ya umeme jimboni kwake ambavyo ameshaahidiwa na ana hofu kuwa uongozi ukipanguliwa tanesco miradi itakwama na kura zitakuwa sifuri. Hebu waache unafiki na uandiki mkubwa. Jamani hebu tubadilike na tuunge mkono kwa nguvu zote madiliko ya kimfumo na kiutendaji ktk serikali na taasisi zake.
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Inahitaji kuwa FISADI kuwatetea MAFISADI wa TANESCO.
   
 20. K

  Kirokolo Senior Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Jamani jamani jamani? Zitto na Sendeka ni majanga mengine. Zitto na ni mwanaJF, siyo msafi hata chembe. Najua ataomba ushahidi wa uchafu wake. Waliokuwa naye kwenye kamati ya madini chini ya Mhe. Jaji Bomani wanajua na wanajuana. Hakuna aliye msafi jamani, hata Jaji alikuwa anasaini na kupokea pesa ambaxo alijua siyo malipo halali. Mpiga pachanga Ole Sendeka ni mnafiki, muflisi wa fikra na mwenye tamaa na choyo ya ajabu kabisa. Anajua kabisa kuwa kura zake 2015 asilimia 90 zipo kwenye miradi ya umeme jimboni kwake ambavyo ameshaahidiwa na ana hofu kuwa uongozi ukipanguliwa tanesco miradi itakwama na kura zitakuwa sifuri. Hebu waache unafiki na uandiki mkubwa. Jamani hebu tubadilike na tuunge mkono kwa nguvu zote madiliko ya kimfumo na kiutendaji ktk serikali na taasisi zake.
   
Loading...