CCM Lumumba-fungu la kikosi cha propaganda mitandaoni lazua minung'uniko. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Lumumba-fungu la kikosi cha propaganda mitandaoni lazua minung'uniko.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WILLY GAMBA, Jul 20, 2012.

 1. WILLY GAMBA

  WILLY GAMBA JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 212
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wanalalamika hawalipwi inavyostahili kulingana na kazi wanayo ifanya ambayo huwa wanafanya mpaka usiku wa manane
  ikizingatiwa fungu limeongezeka katika bajeti mpya.

  UPDATES: Msekwa amekiri Nape anachukua pesa kivyake vyake kutoka kwa Chairman..
  Souce; Rai
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  So na humu Jf wamo hao walalamikaji?
   
 3. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,154
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  wapo weng af dzain wakzoea watakuwa ma soga...tena masogo wakubwa
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,565
  Likes Received: 787
  Trophy Points: 280
  Ndo maana jana walipotea!
   
 5. b

  bashemere Senior Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​zomba ni no 1 wao
   
 6. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 810
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  wamelala saizi au wapo kwny mgomo baridi?
   
 7. k

  kagame Senior Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapi Burn karudi, zomba, Ritz etc? Njaa ukiivalia kibwebwe inakutesa.
   
 8. M

  MI6 Senior Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asanteni mi hapo sina neno...
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  'TUME YA KATIBA' NI MCHUMIA TUMBO KUMBEE..huyu ana sphdi mpaka akili kaazimisha ya Tambwe Hiza
   
 10. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kumbe ndo maana wengine hawaonekani!!!!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  pole zao
   
 12. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Warudi kwenye fani zao sasa!! Nao waonje makato ya kodi, wamezoea vya bure!
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndio maana wamepungua ghafla siku hizi kama Tume Ya Katiba.
   
 14. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mbona hajapotea?
   
 15. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wengi ni njaa tu, wana ID 2, moja ya kipato moja ya Cdm. Wanaelekea kuasi.
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,665
  Likes Received: 913
  Trophy Points: 280
  Wengi wamepotea Kama Tume ya Katiba , Mafilili, Rejao, Ribosome na wengine wanabeep na kupotea siku hizi nasikia hata zile bundle za bure nape kawanyima
   
 17. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,156
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Inabidi waongezewe fumgu coz kazi ya propaganda tena katika enzi hizi ngumu kwa ccmabwepande
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,569
  Likes Received: 1,721
  Trophy Points: 280
  Zomba alikomaa komaa kidogo lakini naona nae kaweka spana chini Burn karudi atakuwa ni mmoja wa mitume wao wa zamani za FF age
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nasikia wamemwambia mkuu wao kwamba kazi hiyo inataka uwe na ROHO YA MAITI kutokana na mashambulizi mazito mno wanayopata kutoka kwa wanamitandao, na hivyo wanataka waongezewe posho. Malipo yao yako based kweye namba ya posts anazotuma per day, n a aina ya thread aliyoijibu. Kuanzisha thread kunaattract income zaidi, ndiyo maana kila siku utaona cv za Mbowe na Slaa hapa, mara Vigogo wa cdm hawajaenda shule, etc.
   
 20. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,523
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  FF jamani sio kwamba kapotea ni kaolewa mitaa ya vingunguti kwa mnyamani na ustadhi wa madrasa kakatazwa na mmewe kwenda kushinda lumumba
   
Loading...