Tundu Lisu kuweni Makini msinase kwenye mtego | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu kuweni Makini msinase kwenye mtego

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Profesa, Jul 20, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kuna dalili za kila namna za kuwakera upinzani hasa wale viongozi ambao ni vinara ili tu waudhike na wafanye mambo ambayo baadhi ya viongozi wa CCM wanaweza kutumia kama kigezo cha kuthibitisha kuwa nyinyi hamna nidhamu na ni wahuni. Msinase kwenye mtego huo maana hiyo sio demokrasia tunayoitaka; hoja kwa hoja na ufahamu wa mambo sio uhuni unaoonyeshwa na viongozi wa kisiasa wa sasa. Si upinzani wala si chama tawala, wote mnaweza kuwa viongzi siku moja wa juu kabisa katika serikali hii. Uhuni hatuutaki.
   
Loading...