ITV ina ugomvi gani na CUF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV ina ugomvi gani na CUF?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jul 19, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa katika habari za kitaifa lakini huwa haisomwi sijui ni kwanini?
   
 2. theHAVARD_product

  theHAVARD_product JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 292
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  CUF hawana jipya CD zao zote 'zimeeksipaya'
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Cuf ndo ccm kwa hiyo wakirusha habari za ccm inatosha maana ndo hao hao
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwani TBC ambayo ni TV ya taifa ina Ugomvi gani na Chadema wewe badala ya kuilalamikia TV ya Taifa unajikita kwenye Tv za watu binafsi wewe vipi anzisha yako uonyeshe habari za CUF
   
 5. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Is CUF still there?iko wapi namba 7 yao inayotoka povu wakati wote[Mtatiro]
   
 6. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Hili suala liko mahakamani.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CUF ni tishio ,ndio ukaona hata mambo yao mpaka yachunguzwe ndio yatangazwe ,kama kuna Chama kinasikilizwa na wanachama wake basi ni CUF ,walifanya zoezi la kuitisha nguvu za umma wananchi wakaitikia ,embu CDM jaribuni kuitisha na kufanya zoezi kama la CUF tuone ?
   
 8. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi hawa radio imaan ina ugomvi gani na rose muhando mbona hawapigi nyimbo zake?
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  cuf c wanawakilishwa na UAMSHO..
   
 10. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umenichekesha sana hiyo imekuwa ndio sababu kubwa ya serikali ya CCMabwepande kukwepa hoja za msingi na tuhuma dhidi yake zisijadiliwe ndani na nje ya bunge.
   
 11. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mheshimiwa naomba mwongozo!!??
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni wafadhiri wa UAMSHO

  CUF ni CCM sioni umuhimu wao kama chama
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Eti tishio' yaani chama chenye mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa uku bara alafu kiwe tishio? you ar dreaming my friend.
  RIP CUF, RIP Mkigoma
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Cuf=ccm!
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Oohooo chama'chama gani? chama cha wananchi cuuuf X2...RIP CUF RIP Mkigoma
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  unapenda kujifariji hadi una furahisha

  lakini najua unatambua kuwa cuf ni ccm b!
   
 17. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Movement for chaga,na mengi ni mchaga.Christian democratic part [cdm],mengi naye mfuasi huko so usishae hiyo itv kutorusha habari za cuf,ni sera zao.Wataatoa kama kuna taarifa ya kukichafua cuf tena itatangazwa kwa mbwembe.Cha kushangaza chama chenyewe wanachokibebe hakibebeki.
   
 18. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Movement for chaga,na mengi ni mchaga.Christian democratic part [cdm],mengi naye mfuasi huko so usishangae hiyo itv kutorusha habari za cuf,ni sera zao.Wataatoa kama kuna taarifa ya kukichafua cuf tena itatangazwa kwa mbwembe.Cha kushangaza chama chenyewe wanachokibebe hakibebeki.
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani habari za mume zkishaandikwa mke anakuwa na wasiwasi gani.ccm si ishaandikwa,halafu mvuto wa cuf ulipotea pindi tu mlipojiunga na mabwepande.
   
 20. m

  mwimbule JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 485
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Cuf tangu waanze kupokea pesa za ruzuku wamepokea pesa nyingi sana.Waanzishe Tv yao kwa ajili ya shughuli zao za kisiasa,Hiyo itawapunguzia malalamiko yasiyokuwa na msingi.Nawaomba tuanze kwanza kudai haki ya vyama vyote kutangazwa katika Tv za Serikali kama TBC.
   
Loading...