Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.