Ndugai akataa hoja ya Lissu

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Spika ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kukataa hoja ya Mh. Tundu Lissu ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo la dharura kuhusiana na ajali ya meli iliyotokea kwa kuchanganya kanunh za Bunge na Tundu lisu ametoka nje kikao cha bunge baada ya uamuz huo
 
Lisu na wenzake wanataka kuficha uvivu wao kwenye 'jambo la dharura' wakati serikali ya JMT na SMZ zinalishughulikia kikamilifu. Wanaomuunga mkono wapeleke uvivu wao porini, wasisingizie ajali. Waacheni wabunge wasio na tabia kama zenu wachape kazi.
 
kuna umuhimu gani kujadili mabajeti ambayo tunajua yatapitishwa si ni bora hoja ya tindu lisu inahusu maisha ya watu yanayopotea kwa uzembe.
 
So wakijadili meli iliyozama halafu ndio iweje?huu upuuzi huu unanikera mambo ya kuzila kama mabinti,kuna mamlaka husika huko zenzi na za huku bara zinashughulikia hilo jambo sio kila kitu bunge lijadili ni upuuzi na ku undermine vyombo vingine
 
hii ndio Tanzania nchi ambayo NO CARE is given to the people who put them in power.
Kwa mtazamo wangu nadhani ingekuwa vizuri wangeachana na hiyo bajeti ili wafanye vitu vya maana vinavyomgusa kila mtanzania
 
So wakijadili meli iliyozama halafu ndio iweje?huu upuuzi huu unanikera mambo ya kuzila kama mabinti,kuna mamlaka husika huko zenzi na za huku bara zinashughulikia hilo jambo sio kila kitu bunge lijadili ni upuuzi na ku undermine vyombo vingine
Mpuuzi ni wewe na umagamba wako wa2 wanakufa serikali imelala unategemea nani aimshe serikali .Kikatiba kazi ya Bunge ni kuisimamia serikali lakini anatokea m2 mmja kama Ndugai sijui upeo wake wa kufikiri umefika mwisho anaitetea serikali dhaifu inayoshindwa kuwahakikishia raia wake usalama wa maisha yao ya kila siku
 
CCM zaidi ya janga kwa kweli. Inashangaza sana kushindwa kuokoa raia
 
zIPO MAMLAKA HUSIKA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILI,SIO KILA KITU BUNGE ISHUGHULIKIE HUKO NI KU UNDERMINE VYOMBO VINGINE,MLIO WENGI U DONT EVEN THINK MNADANDIA TU NA KUHISI U KNOW WHAT UA TALKING,MZALENDO ALIKUA NYERERE TU HAWA WENGINE WOTE WHETHER WAKO CCM AU CHADEMA NI WEZI WALEWALE THATSWHY I HATE POLITICS
 
Lisu na wenzake wanataka kuficha uvivu wao kwenye 'jambo la dharura' wakati serikali ya JMT na SMZ zinalishughulikia kikamilifu. Wanaomuunga mkono wapeleke uvivu wao porini, wasisingizie ajali. Waacheni wabunge wasio na tabia kama zenu wachape kazi.
Kazi hiyo ambayo imechapwa kwa miaka 50 mbona hatuoni matunda zaidi ya miajali ya kizembe?
 
mpuuzi ni wewe na umagamba wako wa2 wanakufa serikali imelala unategemea nani aimshe serikali .kikatiba kazi ya bunge ni kuisimamia serikali lakini anatokea m2 mmja kama ndugai sijui upeo wake wa kufikiri umefika mwisho anaitetea serikali dhaifu inayoshindwa kuwahakikishia raia wake usalama wa maisha yao ya kila siku

haaa haaa haaa,mie hata chama sina,tatizo lenu mnaendekeza itikadi na ushabiki ndo maana kuna mambo mnakurupuka nayo ili tu mfaidike nayo kisiasa bt deep inside hayana tija kwa taifa ndo maana sipendi siasa,nyerere pekee ndio alikua mzalendo hawa wengine wote whether wako ccm/chadema cuf na kwingineko ni wezi walewale hata wewe i doubt with ua integrity
 
Lisu na wenzake wanataka kuficha uvivu wao kwenye 'jambo la dharura' wakati serikali ya JMT na SMZ zinalishughulikia kikamilifu. Wanaomuunga mkono wapeleke uvivu wao porini, wasisingizie ajali. Waacheni wabunge wasio na tabia kama zenu wachape kazi.

wewe ndio mvivu zaidi tena uvivu wako ni mbaya sana maana ni uvivu wa kufikiri!
 
Lisu na wenzake wanataka kuficha uvivu wao kwenye 'jambo la dharura' wakati serikali ya JMT na SMZ zinalishughulikia kikamilifu. Wanaomuunga mkono wapeleke uvivu wao porini, wasisingizie ajali. Waacheni wabunge wasio na tabia kama zenu wachape kazi.

Fafanua mkuu ni uvivu kivipi?
 
haaa haaa haaa,mie hata chama sina,tatizo lenu mnaendekeza itikadi na ushabiki ndo maana kuna mambo mnakurupuka nayo ili tu mfaidike nayo kisiasa bt deep inside hayana tija kwa taifa ndo maana sipendi siasa,nyerere pekee ndio alikua mzalendo hawa wengine wote whether wako ccm/chadema cuf na kwingineko ni wezi walewale hata wewe i doubt with ua integrity
Ndugu penda usipende maisha ya kila siku huku dunia ni yanategemea maamuzi ya wanasiasa kw hyo huwez kuiepuka siasa
 
afadhali kutokufikiri kuliko kufikiri kwa kutumia makalio!!

haaa haaa haaa mesage sent maana mpaka umepaniki,nitakua mkweli daima,sitaruhusu itikadi wala ushabiki vinifanye nisiwaze kwa mapana na kuamua,kudandia mada bila kutafakari ni utoto sana,pole kama unashirikisha makalio cku ukiamaua kufikiri
 
ndugu penda usipende maisha ya kila siku huku dunia ni yanategemea maamuzi ya wanasiasa kw hyo huwez kuiepuka siasa

hili nalitambua ugomvi wangu na wanasiasa ni unafiki na ndo maana kamwe siwezi kumsuport mwanasiasa hata siku moja kwani mwisho wa siku utakutumia kufikia ndoto zake na kesho atakuja na sababu za kukushawishi kwanini hakutekeleza aliokuahidi,haya yote ya nini, mie bora nifanye mishe zangu za pesa baaaasi
 
udhaifu na kiburi cha madaraka kinamaliza taifa letu.tutaendelea kufa,kuteseka hadi Mungu atakapofungua ufahamu wawatanzania na kujitambua kuwa kila mtu ni sharti apende kulia na wanaolia ,kulala njaa na wanao lala njaa, kutesaka na wanaoteseka,
 
haaa haaa haaa,mie hata chama sina,tatizo lenu mnaendekeza itikadi na ushabiki ndo maana kuna mambo mnakurupuka nayo ili tu mfaidike nayo kisiasa bt deep inside hayana tija kwa taifa ndo maana sipendi siasa,nyerere pekee ndio alikua mzalendo hawa wengine wote whether wako ccm/chadema cuf na kwingineko ni wezi walewale hata wewe i doubt with ua integrity

Sasa hata sisg magreat thinker unataka kutudanganya wewe gamba? Manake hoja ulizozitoa hapo juu hata umdanganye nani wewe ni gamba tena gamba kuu. Na utoe upumbavu wako hapa wakati watu wanakufa kila mara kwa sababu ya serikali dhaifu
 
Back
Top Bottom