Kesi ya Joshua (mkenya wa kova)

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Wakuu heshima!!
Namiulizeni mnijuze hivi kesi ya mkenya wa kova anayetuhumiwa kumteka na kumtesa dr. Ulimboka itatajwa lini na iko mbele ya hakimu gani?
Kwa kuwa kesi hii ina mvuto kwa jamii tunaomba wanahabari siku ya kesi watupigie picha mtuhumiwa huyo tumtie nuruni,
 
Mie nilidhani una habari kumbe unatafuta habari!

Ni kweli kuwa sijasoma wala kusikia popote, nilichosikia ni kuwa alisomewa mashtaka akakana, haikuripotiwa imeahirishwa mpaka lini, kimsingi tunatamani tuione angalau picha ya huyu mkenya.
 
Wewe unazungumzia mambo yamahakamani eeee!Unatafuta ban yaserikali nabunge eee!Ngoja muheshimiwa si..pi..ka akusikie!
 
Wewe unazungumzia mambo yamahakamani eeee!Unatafuta ban yaserikali nabunge eee!Ngoja muheshimiwa si..pi..ka akusikie!

usiongee kwa sauti, ninong'oneze Makinda yasitusikie yasije yakaturipoti kwa makinda
 
taifa lina majonzi ya kufiwa na wenzetu zaidi mia moja,we unatuletea makengeza yako hapa,hebu jieshimu basi ndugu.
 
Tamuchungu ajali ya meli haiwezi kuzuia justice isifanyike and it can never be used as a cover. tunasikitika kwa yaliyo wapata ndugu zetu but we still ahve to seek for justice.

Unachotaka kusema leo likitokea janga lingine tusahau ya meli kuzama? Elimu yak haitoshi au haikusaidii kufikiria kwa upana
 
taifa lina majonzi ya kufiwa na wenzetu zaidi mia moja,we unatuletea makengeza yako hapa,hebu jieshimu basi ndugu.

suala la MAKENGEZA NALO NI JANGA NA MSIBA MKUBWA SANA MDAU.,,,,,,,UNADHAN KUUDANGANYA UMMA WAKATI UNAJUA NI SUALA DOGO?????
 
Wakuu heshima!!
Namiulizeni mnijuze hivi kesi ya mkenya wa kova anayetuhumiwa kumteka na kumtesa dr. Ulimboka itatajwa lini na iko mbele ya hakimu gani?
Kwa kuwa kesi hii ina mvuto kwa jamii tunaomba wanahabari siku ya kesi watupigie picha mtuhumiwa huyo tumtie nuruni,

According to Kova a.k.a mzee wa matukio, iko kisutu kwa Agness Mchome.... yule mama alosaini kumnyang'anya mwanamke mwenzake mtoto wa miezi miezi 4 kwa kisingizio cha kuwa ni mwehu bila hata kuona cheti cha daktari kinachothibitisha hilo!!!
 
ukiwa huna kazi ya kufanya lazima uanzishe mada kama hizi

Na ukiwa hauna kazi lazima upitie na kuchangia mada kama hizi kwi! kwi! kwi!
Huwezi kuchamba kwa rimoti, lazima u. . . . .
 
According to Kova a.k.a mzee wa matukio, iko kisutu kwa Agness Mchome.... yule mama alosaini kumnyang'anya mwanamke mwenzake mtoto wa miezi miezi 4 kwa kisingizio cha kuwa ni mwehu bila hata kuona cheti cha daktari kinachothibitisha hilo!!!

Asante sana mkuu Babu Lao kwa kutujuza, tufuatilie itatajwa lini ili tukamuone huyu "joshua" stearing wa picha kova.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom