Tunawaacha ndugu zetu zaidi ya 100 katika meri inayozama bila uokozi na jeshi lipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunawaacha ndugu zetu zaidi ya 100 katika meri inayozama bila uokozi na jeshi lipo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by majata, Jul 20, 2012.

 1. majata

  majata JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  jeshi la uokozi majini juzi walilala usingizi eti kisa giza wakati ndugu zetu wakiwa wanazama, bila matumaini yoyote.

  Sioni kwanini tuendelee kuwapa mshahara wakati kila majanga ya kuzama kwa meri wamedhirisha hawana Tija.

  Hivi giza ni sababu kweli ya kushindwa kuokoa watu? Zikowapi kodi zetu?
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,791
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hii ndo bongo bana,maisha ya wa2 hayana thamani
   
 3. majata

  majata JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  inasikitisha sana usanii mpaka kwenye uhai wa raia.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Kigamboni Navy wanakazi gani? Hawana vifaa?
   
 5. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Amri jeshi wao mkuu si Shein lakini? Au ni wanajeshi wa kikwete walilala?
  manake najua kuna majeshi mara mbili siku hizi.

  Poleni mliofikwa na mkasa huu mnyazi mungu awape moyo wa subira wakati huu wa majonzi.

   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  labda hawana vya kuonea usiku.
   
 7. majata

  majata JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  katika hali tete kama hii inayohusisha vifo vya watu serikali ya muungano haipaswi kukaa kimya eti zanzibar wana navy, kama niissue ya smz bona Leo mapumziko mpaka bar? Huu wanao fanya ni uhuni ulio pitiliza, navy gani haina vifaa vya marine? Watajifunza kuwa na vifaa mpaka wafe watu wangapi?
   
 8. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa ndugu hujui kama jeshi letu ni la nadharia?

   
 9. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,727
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Jeshi letu linapokea tu mishahara na kula bata toka vita ya kagera iishe, siku viongozi wetu wakizama ndio vifaa vya kisasa vitapatikana
   
Loading...