DNA YA RAIS KIKWETE Kuleta MAFANIKIO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DNA YA RAIS KIKWETE Kuleta MAFANIKIO?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jul 19, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ""
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza sayansi ya vinasaba (DNA) itumike mara moja kusaidia zoezi la utambuzi wa miili ya watu waliopoteza maisha yao katika ajali ya kuzama kwa meli ya *Mv Spice Islander* katika Bahari ya Hindi kwenye pwani ya Kisiwa cha Zanzibar usiku wa kuamkia jana, Jumamosi, Septemba 10, 2011"" By Rais kikwete


  Mytake:

  1. Je kikwete ataagiza tena DNA itumike kwa meli/ boat hii?
  2. Nini mafanikio ya DNA kwenye Spice islander?
  3. Je alikuwa na malengo gani kusema DNA itumike?

  [​IMG]


  Note: Leo Rais alikwenda zanzibar kuwafaliji wazanzibari
   
 2. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mkuu, niliisikia hii ikinenwa wakati ule nikafunika uso kwa aibu kana kwamba mimi ndiye niliyesema. Nilishindwa kuelewa kwamba Rais anakuwaje kama muuzaji wa sokoni katika utaalamu asioujua! Au ni ushauri mbaya?

  Tanzania hakuna DNA bank ambayo inaweza kutumika kama reference in case ya matukio kama haya au mengine yanayohusiana na uhalifu. Kwamba haitawezekana kumtambua mtu kama hukuwa na profile ya vinasaba vyake wakati yuko hai. Sasa Rais mzima anakurupuka na kulitangazia taifa (kwa kuamrisha) kuwa DNA itumike! Nilijiuliza maswali mengi sana. Je, ni ulimbukeni wa Rais au ushauri mbaya? Je, ni kutaka kupata umaarufu kuwa anajua sayansi na yeye ni wa kileo sana? Au ni ku - impress WaTZ wengi walio mbumbumbu kwenye sayansi hii?

  Labda safari hii ameshauriwa vizuri.
   
 3. fige

  fige JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maelezo yako ni hakika,ila labda kama maiti imeharibika sana na ndugu wanamtafuta hawawezi kumtambua nadhani(sina uhakika)wanaweza kulinganisha na dna za ndugu zake.
  Lakini kama miili hiyo haijaharibika na kushindwa kutambulika hilo ni swala lingine.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Swala kubwa ni kwamba alichoongea last year kimekuwa implemented?...Yameletwa madawa na equipment ya kufanyia hizo test, au ilikuwa NI UPEPO TU, UTAPITA?
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa !
   
 6. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yeye ni mtaalamu wa ata asivyovijua
   
 8. T

  Talklicious Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alivyosema mchangiaji aliyepita kabla ya kufanya DNA test comparison group inahitajika. Sasa ingekuwa implemented vipi ikiwa hamna hiyo comparison group? Labda kabla ya hapo ilibidi watanzania wote tungefanyiwa DNA test then tupate data base kwa ajili ya kucompare na hao waliofariki.
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Amma kweli. You are one of the great tinkers.
   
 10. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dhaifu+mabwepande=upumbavu/wehu/ujuha.
   
 11. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa hana tofauti na Dully Mr Misifa.
   
 12. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Umefika wakati sasa kwa wanasiasa kuweka siasa pembeni. Kuna umuhimu wa kupima dna kwa watanzania wote na kuwekwa katika data base ili kurahisisha utambuzi wa ndugu zetu wanaopotea katika ajari mbaya kama hizi. Lakini pia itasaidia kutambua wazazi wa watoto wanaolandalanda mitaani wakati wazazi wao wanaponda maisha mazuri.

  Hayo ni yangu tu kama huyakubari potezea ila ukumbuke utakuja kuzikwa na manisipaa wakati inawezekana kuwapata ndugu zako.
   
 13. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Punguza ushabiki kijana wa Mungu

  DNA-Genealogy makes it possible for you to research your family tree with the most modern methods. It makes fast and exact research into your family history possible, whether as your first venture into researching your ancestry or as a supplement to traditional genealogy. Where traditional research into your ancestry examines birth, marriage, and death certificates, a simple saliva sample is all that's needed for DNA-Genealogy. That's because each of us carries with us the most important and exact set of files needed: our DNA.

  What is DNA?

  DNA is a molecule, that contains the genetic instructions for all of the functions and substances of the human body. It looks like a spiral staircase. Each stair step is made up of two bases. There are four different bases: Guanine, Thymine, Cytosine and Adenine. If you envision the bases as coloured Lego pieces, then there would be four colours and each step would be two-coloured.

  The total DNA of a human being is called a genome. It contains the genetic instructions for all of the functions and substances of this body. We inherit the genome from our ancestors. It is re-combined in each generation from the genes of our parents, so that genetic traces gradually get lost.

  There are only two areas where the DNA is not re-combined:

  1) in the Y-Chromosome, which is passed on from father to son, and

  2) in the DNA of the mitochondria ( mitochondrial DNA), which all children inherit from there mother.

  How can a family be genetically distinguished?

  The DNA of all human beings is up to 99.9% identical. The remaining 0.1% are the source of the individual differences (e.g. eye colour, risks of certain illnesses, or deviations with no discernable function). Once in a while, there are non-functional sections in DNA, a coincidental harmless change called a Mutation. All descendants of that person will inherit this same mutation. If the same mutation shows up generations later in the DNA of two people, it is apparent, that they have a common ancestor. Mutations build the basis for the construction of a genetic family tree.

  How can DNA say anything about my Origins?

  Comparison of mitochondrial DNA (mtDNA) and Y-chromosome DNA of people from different people groups provide geneticists with an idea of when and where these groups have travelled in the migrations of peoples around the world. Mutations do not merely mark individual families, but also entire sub-populations (population groups). When one researches the occurrence or frequency of certain mutations (markers), one can sub-divide the complex family tree of the human race into individual branches.

  If a people group migrates, or lives for a long time in geographic isolation– meaning that there would be no genetic exchange with other groups– then it develops its own mutation pattern. It becomes a haplogroup with genetic characteristics, that are unmistakeable. Each one of these groups stands for a branch of the human family tree: In Europe, for example, other haplogroups are distributed than in Africa or Asia.

  Even social and religious traditions leave their traces behind in the inherited genetic material, since the members of some groups preferentially marry among themselves. Although, for example, Celts and Germanic Tribes often encountered each other, there were hardly any intermarriages. The same is true, for example, of Jews, who lived in isolation for centuries and have thus preserved specific genetic characteristics.

  Even when written history falls silent, DNAGenealogy can further research and decipher the history of humankind. Thanks to the socalled molecular clock, the point in time when two lines divided and the epoch in which their last common ancestor lived can be determined. Analyses of genetic material also reveal the Wanderlust of the first humans. Researches discovered remarkable similarities between the people groups in India, Oceania, and Australia, as well as between Siberian peoples and Native Americans. Thanks to the molecular clock, we can not only determine the point in time and the origin of the migration, but also how the peoples are related to each other. This is how, for example, the ancestral origin of the Basques was discovered.

  What will be analysed in a DNA-Genealogy-Test?

  You can imagine mitochondrial DNA or the Y-chromosome as the genetic coat-of-arms of a lineage. Every member of the paternal line carries the same Y-chromosome, like a heraldic stamp. Over the course of time, this stamp is copied over and over again, and the engraving fades, so that the family's coat-of-arms is no longer clearly recognizable. The DNA acquires new mutations, so that the DNA-profiles of close relatives are more similar than those of two men with a common male ancestor who lived 600 years ago.

  THE Y-CHROMOSOME

  Chromosomes consist of DNA and proteins. Each cell of the body has in its nucleus 23 chromosome pairs (Exception: egg cells and sperm cells each have 23 individual chromosomes). One of these pairs is the sex-chromosome pair. Women have two Xchromosomes, men an X- and Y-chromosome. The Y-chromosome is passed from father to son unchanged. Every man inherits therefore his genetic coat-of-arms in the male line from his father.

  In a DNA-Test, certain known DNA sequences (markers) are looked for. These markers are referred to as DYS and have different gene variants (alleles). The alleles are identified with numbers, which recapitulate the number or repeating sequence segments of that marker. In the illustration, for example, the marker DYS393 the allele value of 13. That segment of the sequence repeats itself 13 times.
   
 14. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mch Kimaro hivi Kiingereza ndiyo elimu siyo? Hakuna ulichoandika kinachomkosoa Mween. Mween ameeleza kwa kifupi lakini kitu kinachoeleweka kabisa. Wewe umekuja na makiingereza yako lakini huna lolote. Kama hakuna dna bank ni ngumu kujua mahali na ndugu wa marehemu. Kama mtu amehamia miaka ya 80 kwenda dar kutoka Mbeya utajuaje? Sana sana unaweza predict kwamba ana ndugu mkoa wa Mbeya lakini sehemu gani? Ugumu unakuja zaidi pale ambapo mtu ni chotara yaani mchanga Mnyakyusa. Utajuaje anatoka wapi, na kuna wengine hata ni ngumu zaidi, utakuta bibi mchaga, babu mhaya, babu upande wa mama Mrangi na bibi upande wa mama Mnyakyusa. Utajuaje sasa?
  Kama Kikwete anataka dna itumike kwa wazungu waliokuwepo kwenye meli hapo sawa, lakini kwa Watanzania ina faida ndogo sana. Bora fedha ya kununulia kemikali na vifaa zingetumika kuboresha usafiri wa majini.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu Jamaa na Pass degree yake ya UD has no Idea of DNA fingerprinting and identification....huyu akacheze ngoma Ukwereni
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Jifunze kuweka source unapo copy na kupaste kitu kama si chako, this is mere plagiarism
   
Loading...