Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jul 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inaonekana ITV lilopokuja swala la Kuchoma makanisa ilivalia njuga na hata kufikia kupotosha watz.
  Lkn kuhusu kuzama kwa MV SPICE na tukio hili la sasa ni tofauti kabisa inavyoripoti.
  Breaking news ilikuwa kila wakati
  Wkati wa tunaarifiwa uchomaji wa makanisa zanzibar. itv ilituma waandishi ndege nzima na Kukaa karibu na kila kanisa.
  lkn Linapokua swala la majanga huko Zanzibar. itv Haina hata habari.
  AU tuzo ya Udkta wa Biblia aliokabidhiwa Mwenyekiti mtendaji ?

  [​IMG]


  Sheikh Azzan wa UAMSHO akizungumza na waandishi wa HABARI MAISARA LEO
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Inawezekana. Napita tu.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Acha majungu.....untokwa povu..
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  anasumbuliwa na uamsho huyu, hana jipya, aende kwanza shule ndo arudi hapa...
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kumbe mkiguswa kwenye moyo huwa mnashtuka?
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hawa vilaza sijui wametokea wapi JF....Zanzibar si ni nchi?? si ina TVZ??

  Join Date : 19th July 2012

  Posts : 33

  Rep Power : 307
  Likes Received 0

  Likes Given 0
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kwa hivyo, ITV inaenda zanzibar kwa ajili ya Kupotosha?
   
 8. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Mbona jana hadi usiku nilipokwenda kulala, ITV walikuwa bado wana-interrupt programs zingine periodically na kujiunga na Farouk Karim wa Zanzibar kutoa updates za kinachoendelea eneo la tukio la ajali. Au ni nini hasa unazungumzia? Come to think of it, kwani meli iliyozama ilikuwa ni ya msafara maalum wa 'dini' fulani?
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nashangaa wanafanya nini nchi jirani....
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  taarifa ya kwanza kuwa kuna meli imezama nilisikia itv tena ilikuwa mida ya kama saa sita ivi....nashangaa wanalalama kuwa hawajatangaza,
   
 11. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ya kwenye vijiwe vya kahawa uciyalete hapa tafadhali.. Tuna macikitiko ya kuwapoteza wenzetu wewe unakuja na utumbo..
   
 12. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Ni lazima utazame ITV? Kaombe kazi pale ili urekebishe hayo, au wasiliana nao moja kwa moja kwa anuani zao uwape kero zako, wala huna haja ya kuwatangazia na wengine wanaotazama channel nyingine. Halafu hiyo ITV unaitazama kuanzia asubuhi hadi asubuhi (24 hours) kiasi cha kujustify conclusion yako hii?
   
 13. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani ni coverage tu hawajapata watarusha tu. Ajali ni mbaya sana, Mungu awape nguvu majeruhi na kuwafariji wafiwa wote.

  Ila jamani tusiwe tunatumia dini tunazoitikadi kuchoma, kuuwa au kuharibu mali za wengine wasio wa dini yetu. Tutapata laana na kusababishia matatizo kwa jamii zetu, pia hata kwenye hizo dini tunazodhani tumesimamia tutapata dhambi nzito.
  Poleni sana
   
 14. y

  yetabula Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sasa wewe ulitaka ITV watume wanahabari baharini kwa kutumia chombo gani, maana kama ni bahari ilikuwa imechafuka. Tafadhari fikiri kabla ya kuposti chochote
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni kweli mkuu... Kwenye RED pana ujumbe mzito.
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Undhani hajui?? agenda yake ni tofauti na mnayoijadili hapa.....dawa ya watu kama hawa unawawasha tu straight
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  acheni fujo hapo juu
   
 18. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Kwani ITV ni suala la Muungano ?.

   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mnahubiri kuuvunja Muungano. Hamtabaki salama-Mwalimu. Karibu waZanzibar elfu kumi wanakuja Dar na kurudi Znz kwa siku. Halafu Muungano hamuutaki! Kweli?
   
 20. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  ITV sio chombo cha umma ni mali ya mtu binafsi ndg.REGINALD MENGI, hata akiamua kuweka sinema za nyumbani kwake hiyo haikuhusu ilimradi havunji sheria, Ungekuwa mwerevu ungedili na kuikosoa TBCCM na TVZ zinazokesha zikionyesha qaswida ilhali ni mali ya watanzania wote!
   
Loading...