Lukuvi kushindwa kutamka SKAGiT?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Naomba nijue uwezo wa huyu mtu,manake anashindwa kusoma neno SKAGIT??INAWEZEKANA vipi jamani,ina maana UDSM wanatoa product mbovu kiasi hiki?
 
Mkuu siku hizi UDSM imebaki jina tu.Hakuna chochote hapa UDSM. Imekuwa ni sehemu ya kuzalisha vilaza.Niko hapa kuna watu wanafanya masters lakini uwezo wao ni mdogo sana,si kwa kujieleza tu bali pia hata wa ku-implement mambo.Mpaka ma-lecturer kutoka nje wana shangaa kama mtu anafanya masters halafu haelewi chochote.
 
neno SKAGIT ni strait forwad,sioni kwa nini mtu ashindwe kusoma na kutamka strait badala yake anatamka SKA!sio vizuri na inaonekana proffesional za hawa watu ni za kutiliwa mashaka kama kweli wanafanya kazi waliyotumwa na watanzania kisawa sawa
 
Nani aliyekuambia Lukuvi kapita udsm? muulize mwanasheria msemakweli!
Lkv=UPE=...........
 
Naomba nijue uwezo wa huyu mtu,manake anashindwa kusoma neno SKAGIT??INAWEZEKANA vipi jamani,ina maana UDSM wanatoa product mbovu kiasi hiki?

UDSM kasoma Lukuvi? mnaota nyie huyu mwalimu wa UPE UDSM kasoma lini??
 
Back
Top Bottom