Mh. Zitto Naomba Feedback hapa ........!

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Mh. Zitto mnamo 27th November 2010 15:10 ulituandikia haya:

Zitto
Mwaka 2010 - 2011 nimeamua kujikita kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics. Rural growth kwa ajili ya kusukuma nguvu katika cutting poverty levels vijijini. Bado ukuaji wa uchumi wa Taifa letu haufiki chini na hivyo hauendani kabisa na kupungua kwa umasikini. Ajenda hii imesahaulika sana sana. Baada ya kupata sheria mpya ya madini (bado ina mapungufu kidogo), napeleka nguvu kwenye kuhakikisha kuwa Gesi Asilia na Mafuta yanafaidisha nchi yetu. Lengo ni kusukuma kuwe na Sheria mpya ya Gesi na Mafuta ili kuepuka yaliyotukuta kwenye sekta ya Madini.

Nina muswada wa sheria nilioandika ili kubadili sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Serikali kukataa kuuchapisha. Ninadhamiria kuhakikisha kuwa muswada ninaurudisha Bungeni. Lengo ni kutenganisha Biashara na siasa kwa kuanzisha blind trusts. Pia lengo ni kufanya sheria ya maadili iwe effective na wananchi wawe na uhuru zaidi wa kukagua mali za viongozi wao.

Mambo mengine ni masuala ya chama mfano suala la Katiba mpya nk.

Nina nia njema ya kujua maendeleo na mafanikio ya jitihada zako kwa mwaka 2011 kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics.
 
Atasema unataka kumhujumu urais 2015, na ataongezea ww umetumwa na maadui wake kisiasa
 
Mnafiki huyo atakupa nini?

Tuwe wavumilivu wa kuheshimu uhuru wa maoni na kujieleza. Kwa nini tunamhukumu mtu ilihali bado hata hajapanda kizimbani?

Atasema unataka kumhujumu urais 2015, na ataongezea ww umetumwa na maadui wake kisiasa

Maadui wa Zitto na nchi hii ni umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi. Bahati iliyoje Omutwale simo kwenye hayo yote manne!

Unataka kwa zitto?.............sahau
NDIYO. Mbona hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/91628-zitto-anataka-kusaliti-chadema-32.html#post1311691"alitoka shimoni" na kuja kujibu? au alikuwa Zitto mwingine?
 
Ninachoamini, mti mwema ndio unaopigwa mawe.
Zitto is a threat not only to u.....to whoever sleeps comfortably at night and dream of being famous by using other people's hard working..

Wewe na wenzio endeleeni kuchonga tu na endeleeni kuandaa majeshi ya kumkashifu Zitto na kuanzisha thread nyingi iwezekanavyo, lakini jamaa anakubalika na wengi, na unajua sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Bado Zitto ana muda wa kutosha kufanya anayotaka kufanya.

God bless u Zuberi Zitto Kabwe.
 
zito anapenda sana Fedha, anahongeka kirahisi. abhabunge bhenshi bhi kigoma ntibhafishe umusimamo, twimbhuke ye Dr. Kabour alikuwa zaidi ya zito lakini alichotufanyia kwa magamba we acha tu!
Zitto elewa CCM hawana shukrani hata kidogo, wasikie wakubwa zako-utatumikaaaaaaaa weeeeee mwisho wa siku itaishia kuuwawa au kupotea kabisa kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom