CCM kuipa Utawala wa Nchi CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kuipa Utawala wa Nchi CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 24, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kama unakumbuka CCM iliwahonga CDM viti vya ubunge ili kuiondoa CUF ,kuna muelekeo kuwa 2015 CCM itawaachia CDM kiti cha Uraisi .
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  huyo mkata umeme, umeme, ooh umeme eh! Wala usimchukie utaukosa umeme!!!

  Mkuu Mwiba inaonekana uliwekeza sana kwenye sms spoofing,
  si vibaya kumuiga promota don king.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukumbushe mkuu!
  When was that?
  How?
  Kina nani walipewa ubunge?
  watanzania tunasahaugi hebu tukumbushe tena
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Maswali ya msingi. Namimi nasubiri majibu!
   
 5. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora mmeanza kutambua kuwa ccm haina chake twenty15
   
 6. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nilitaka kushangaa kwa kuona Mwiba kaamua kuandika hivyo kumbe anataka kuangalia upepo unaelekea wapi..... Mwiba usijisumbue kama upo sehemu ambapo hakuna mchanga ambao utakusaidia kuangalia uelekeo wa upepo, wewe achia tu hewa chafu kutoka kwenye Masaburi kisha angalia upande upi wanahangaika kufumba pua ujue huko ndiko upepo unalekekea
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  mmeshakata tamaa??
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Unapima upepo nini?
  Msema kweli hayuko mbali 2015.
   
Loading...