Ccm- toka chama cha umma mpaka chama cha wenyewe.

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
[h=6]CCM- TOKA CHAMA CHA UMMA MPAKA CHAMA CHA WENYEWE.

SAFARI YA CHAMA CHANGU CCM TOKA TANU MPAKA SASA.

KWA WALE TULIOZALIWA ENZI HIZO TUMEYAPITIA HATUA NYINGI ZA KIMABADILIKO KWA TANU NA CCM. TOKA CHAMA CHA UMMA KUELEKEA CHAMA CHA FAMILIA..

KAMA IFUATAYO:-

1. 1960 – 1967: Kiongozi akisimama anasema:

“UHUHRU”

Wananchi mnaitika

“KAZI YA TANU''

Nyimbo za nyakati hizo-
AEEE TANU YAJENGA NCHI.

2. 1967 – 1977 Kipindi cha Azimio la Arusha.

Kiongozi:

“UJAMAA”

Wananchi mnaitikia

“SIASA SAFI YA TANU”

Nyimbo –
Kata mirija kata, kata! ya unyonyaji, kata!
Ya kikabaila, kata! Ya kibebari, kata!

3. 1977 -1980 Kiongozi: CCM HOYEEEEEE!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Wananchi:
KIDUMUUUUUUUUU!

Kiongozi: ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM

Wananchi ZIDUMUUUUUU!

Wimbo ulioimbwa sana Radio Tanzania:

CCM CHAMBALAMAAA X 3 KOCHELELI CCM EEE,
KOCHELELI – hata mimi sikujua wimbo huu
ulitoka kabila gani lakini nadhani mkoa
wa Rukwa!

WAKATI HUO CHAMA KILIKUWAMALI YA WOTE!!!!!

4. 1985 NA KUENDELEA HADI LEO: VIONGOZI NA WAPAPMBE NDO
WANAOIMBA NA KUPOKEZANA!!!!!

“CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI” –
SASA CHAMA KIMEKUWA MALI YA VIONGOZI, WATEULIWA WACHACHE NA FAMILIA ZAO!!!

NI JUKUMU LETU VIJANA WA CCM KUSHIRIKI UCHAGUZI MWAKA HUU NA KUKIREJESHEA CHAMA HADHI YA KE YA KUWA CHAMA CHA UMMA
(WAKULIMA NA WAFANYAKAZI)
[/h]
 
Inasikitisha chama kime kuwa chama cha koo saba mchana na usiku wanawaza namna ya kujineemesha na kubaki madarakani vizazi na vizazi nilidhani haya ni ya Kongo,Zimbwabwe sasa yametukuta
 
Back
Top Bottom