Lowasa ni mkombozi wa ccm 2015 utake usitake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowasa ni mkombozi wa ccm 2015 utake usitake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 24, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni habari nzuri kwa kila mwanaccm maana huyo ndiye atakeyeweza kuipeleka mbele ccm, ni msomi ana uzoefu, hana makundi hana udini,, sio mswahiliswahili na historia inaonyesha wizara zote aliziongoza kwa ufanisi mkubwa sana, anayo maamuzi magumu.
  watu kama kina nape watakuwa hawana nafasi kabisa maana elimu yao kwa kuongoza chama ni ndogo saana tunataka mtu atakayedebate na dr slaa au prof lipumba (fact)kama kuna mtu kauzika sina la kufanya ndio ukweli take it or leave it.
   
 2. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  umenena mkuu EL for 2015..
   
 3. a

  andrews JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​hapa nakuunga mkono 100% hakuna tena ucheck bob ikulu hakuna kudandia bembea tena ni kazi moja tu
   
 4. b

  bashemere Senior Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ataweza kukabiliana na makundi alitoyaanzisha kikwete na kuna wengine watahama nchi waziri mkuu andrew chenge pazuri hapo
   
 5. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kamwambie mama yako
   
 6. b

  bashemere Senior Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​imekuwa hayo? tatizo wanaccm wengi mnamuogopa lowasa kwanini au ndio mmezoea akili ndogo kuongoza akili kubwa?
   
 7. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana cdm njia nyeupeeeee 2015
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona Membe ndio anaonekana anafaa zaidi, na akioteshwa patachimbika.

  Mafisadi wote wakae mkao wa keko.lol!
   
 9. N

  Nambombe Senior Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Lowasa ni mwizi na abebeki,hata kama anakulipa ili umsafishe haisaidii
   
 10. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,378
  Likes Received: 690
  Trophy Points: 280
  mmeanza! mmemsingizia anaumwa ili tuwe nahuruma mwingize ujinga humu! kamwe tumechoka Hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. b

  bashemere Senior Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  membe bado hajaoteshwa,rose migiro hajulikani yuko kama popo ni upande wa jakaya au wa lowasa na wote hao inategemea fungu la rostam atalipileka wapi zaidi ya kwa edward lowasa hata mkinuna huo ndio ukweli kutokana na hali halisi ya chama legelege sasa tunataka chama madhubuti chini ya el lowasa
   
 12. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Mmh huyu tushasema hapana.
   
 13. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  sipendi siasa na huwa siongelei kabisa lakini kwa hili nakuunga mkono.
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata kama humpendi Nape sidhani kama ni sahihi kulinganisha elimu yake na ile ya Lowasa aliyewahi kusema without education you can't improve poverty.
   
 15. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wenzako tulichukua nchi kwa risasi, hatutaiachia kwa karatasi!!!!!!!
   
 16. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani Kikwete na mamvi wana tofauti gani?
   
 17. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa ccm bora kundi la kina sitta na dr. mwakyembe.. wao si mafisadi kama huyu lowassa
   
 18. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hata kama ni kampeni taratibu basi, khah:

  Mjaka Join date 4th July post on this forum 15:25

  Sohoke " 28th July post " 15:28

  Kapasi " 13th July post " 15:28

  Bashemere " 17th July post " 15:42
   
 19. d

  dguyana JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowasa anaweza kana kuwa bora kuliko JK. Ila Lowasa atueleze ilikuwaje Richmond na EPA? KWa vile yeye alikuwepo serikalini wakati huo hili hawezi kukwepa. Atueleze vizuri then tutamwangali. Vinginevyo msije hapa kutuongezea hasira hapa.
   
 20. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Wanatofautiana viwango tu tokana na nafasi walizoshika lakini wote mafisadi.
   
Loading...