Serikali ni kubwa sana: Wanatakiwa kufanya hivi kupunguza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ni kubwa sana: Wanatakiwa kufanya hivi kupunguza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Jul 24, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Serikali yetu na wananchi wa Tanzania wananishangaza sana maana wanataka serikali ifanye vitu vingi zaidi na wakati huohuo hawatoi mawazo ni jinsi gani ya kupunguza serikali.

  Serikali inatakiwa kuajiri kampuni ya kitaakuma kufanya yafuatayo.

  1. Punguza ukubwa wa serikali kwa kupunguza shughuli ambazo zinaweza kuchanganywa Tanzania nzima
  2. Kuongeza ufanisi na haraka ya matokeo ya shughuli: Mfano Vitambulisho vya viwanja ni kwanini vinachukua miaka!
  3. Weka Technology ya kisasa kwenye kazi na fanya training kwa wafanyakazi
  4. Punguza gharama za serikali.

  Tatizo ni kwamba Watu wengi sana wanafaidika kibinafsi na serikali kuwa kubwa na kutokuwa na ufanisi wakati Watanzania wengi wanaumia. Kuna methody nyingi na kampuni nyingi lakini moja wapo ni

  1. APQC. Nenda apqc.org
  [h=2]Benchmarking Methodology[/h]Benchmarking is the process of comparing and measuring your organization against others, anywhere in the world, to gain insights into measures, performance, and practices in a way that can rapidly improve the journey to world-class performance.
  As the world’s leader in benchmarking, APQC has learned that organizations benchmark for a number reasons, including to:

  • improve productivity and lower costs,
  • accelerate and manage change,
  • achieve breakthroughs and innovation,
  • set performance targets, and
  • create a sense of urgency.
  [h=3]Our Benchmarking Methodology[/h]APQC’s benchmarking methodology consists of four phases and was recognized as the No. 1 methodology in the world due to its flexibility in application and rigor in results

  2. PwC: Audit and assurance, consulting and tax services

  3. Advisory, Assurance, Tax, Transaction Services - Ernst & Young - Global

  Matumizi yakiwa madogo na kipato kikiwa kikubwa hatutakuwa na sababu ya kukopa NSSF
   
Loading...